Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Future captain ni VVD chief...
 
Kwakweli muda wa kupumzika ni wa kutosha kabisa...
 
Nikajua Cammacho ni winga anafosiwa kucheza beki duh.
Yule anafaa kwakweli hasa kupandisha mashambulizi ni mzuri sana.

Hivi yule mkoba anae itwa philips alitolewa au yupo bado? nimemkubali kuliko Lovlen nae.
 
TAA the next SG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mchawi wa Hendo ni mmoja tu kwasasa!

Ni Alex-Oxlade Chamberlain huyu ndiye atakayekuja kumkalisha Hendo Benchi.

Mido itakuwa hii ↓↓

GINI - FABI - AOC
Gini anaogopa sana kucheza na Hendo. Hamuamini. Ukimpanga Gini na Fab anacheza kwa pace kubwa,confidence, na morari ya hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikajua Cammacho ni winga anafosiwa kucheza beki duh.
Yule anafaa kwakweli hasa kupandisha mashambulizi ni mzuri sana.

Hivi yule mkoba anae itwa philips alitolewa au yupo bado? nimemkubali kuliko Lovlen nae.

Phillips yupo U23 coz Klopp hajawa Convinced na kipaji chake na ndiyomana anamrate Ki-Jana kuliko yeye
 
Phillips yupo U23 coz Klopp hajawa Convinced na kipaji chake na ndiyomana anamrate Ki-Jana kuliko yeye
Isije ikawa anamapenzi nae ulimwangalia vizuri zile mechi 2 za Man u na Mancity alivyo mtulivu?

au anabolonga huko under 23 ndomana hajamsogeza hiki kipindi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…