Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
I checked EPL table... It's fancy for us and a dream for youUmeshakula za uso game 2 mfululizo jomba yaani ni kawaida ukishatolewa bikra unakuwa sio mchoyo watajipigia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
The will Never finish in top fourIwapo Arsenal itamaliza ndani ya Top Four Juu ya Man United ninajipiga Ban la kutocomment chochote kwenye Uzi wenu kwa msimu mzima wa 2019/20
Klopp has to clear out th dead woods plus Henderson...Writes James Pearce:
"When Liverpool lost at the Etihad last week, City striker Gabriel Jesus was an unused substitute. Handed starts in the FA Cup and the League Cup since, the Brazil international has bagged five goals to take his tally for the season to 12.
That's what you call elite level back-up.
If Klopp is serious about competing on all four fronts next season then having greater firepower in reserve is a must, regardless of what happens between now and May."
Mchezaji uliekamilika vizuri hasa kiungo unapaswa kuwa Bora sana ukuwini hiyo namba kuliko wote, pia sio vizuri kucheza namba 1 tu ukawa bora sometimes kocha anabadili formation. nadhani ni vizuri kuwa multipurposeUngekua shabiki wa mpira na sio timu huwezi kunena haya! Keita tangu atue liverpool hajachezeshwa nafasi yake kwenye double pivot CM au CAM na kama amechezeshwa bhasi ni mara chache mno.
How do u expect him to shine and give all his potential if klopp and his bench keep playing LM out of position!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hao wote English?Klopp has to clear out th dead woods plus Henderson...
wonder why the English players in our rank r damn injury prone, need to buy smartly wt home grown mark...
1) Lallan injured
2) Henderson injured
3) Gomez injured
4) Solanke sold wt injury
5) Rhian injured
6) Chamberlin injured.
Under 23 sijatazama.
we dont have quality depth tuna matatizo tu, City are miles ahead.
Mkuu mi nadhani hakuna kocha ambae apendi kuwa na kikosi kipana tunachoshindwa kukiona ni kuwa makocha wanasema kile owners wanachowaambia, pesa za usajiri na Mishahara ya wachezaji wa kiwango inahitaji Baraka za owners na si makocha. So ukiona hivyo fahamu kuwa kawatupia vijembe owner waangalie bench la CFC lilivyosheheni players wazuri zaidi.Klopp has to clear out th dead woods plus Henderson...
wonder why the English players in our rank r damn injury prone, need to buy smartly wt home grown mark...
1) Lallan injured
2) Henderson injured
3) Gomez injured
4) Solanke sold wt injury
5) Rhian injured
6) Chamberlin injured.
Under 23 sijatazama.
we dont have quality depth tuna matatizo tu, City are miles ahead.
ndio mkuu ni English sijui kwa nini upepo wa majeraha hua hauchezi mbani naoMbona hao wote English?
Lallana, Henderson kocha anawapenda na ni pancha muda wowote asa kama kocha hajawaweka kwenye listi ya kuuzwo unadhani wenye timu wataamua wao kuwauza...Mkuu mi nadhani hakuna kocha ambae apendi kuwa na kikosi kipana tunachoshindwa kukiona ni kuwa makocha wanasema kile owners wanachowaambia, pesa za usajiri na Mishahara ya wachezaji wa kiwango inahitaji Baraka za owners na si makocha. So ukiona hivyo fahamu kuwa kawatupia vijembe owner waangalie bench la CFC lilivyosheheni players wazuri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kwake hao ni tegemeo kwenye rotation. but ni vizuri kuingiza kwanza ndipo utoe maana soko na bei halieleweki ukiwa desperate kutaka mchezaji. na sidhani kama Henderson anapata namba kwa sababu ya echo huo ni mtazamo wenu mashabiki, but kwa kocha yoyote professional na anae jiamini hawezi fanya kitu kama hicho atapanga kikosi kulingana na wao "Yeye na wasaidizi wake wote". Mwisho wa siku ni kocha ndio aliewekewa lengo la kutimiza kuhusu kazi na si echo au kikundi kingine chochote hata sisi mashabiki. Mwisho wa msimu kocha akishindwa kutimiza lengo na umempa "full support" Timua hafai.Lallana, Henderson kocha anawapenda na ni pancha muda wowote asa kama kocha hajawaweka kwenye listi ya kuuzwo unadhani wenye timu wataamua wao kuwauza...
Klopp afanye maamuzi magumu sio kuwachekea kisa tu Echo wanawapigia debe..
mtazamo wako upo sahihi kabisaNadhani kwake hao ni tegemeo kwenye rotation. but ni vizuri kuingiza kwanza ndipo utoe maana soko na bei halieleweki ukiwa desperate kutaka mchezaji. na sidhani kama Henderson anapata namba kwa sababu ya echo huo ni mtazamo wenu mashabiki, but kwa kocha yoyote professional na anae jiamini hawezi fanya kitu kama hicho atapanga kikosi kulingana na wao "Yeye na wasaidizi wake wote". Mwisho wa siku ni kocha ndio aliewekewa lengo la kutimiza kuhusu kazi na si echo au kikundi kingine chochote hata sisi mashabiki. Mwisho wa msimu kocha akishindwa kutimiza lengo na umempa "full support" Timua hafai.
Huo ndio Mtizamo wangu Kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Probable line up endapo Matip ataanza View attachment 992490
Na endapo Matip hatoanza ningependa iwe Keita atakua kacheza kwenye nafasi yake View attachment 992491
i will choose namba 3Leo Sidhani Kama Matip ataanza!
Kwahiyo huenda Fabinho akapiga CB na VVD.
Mido itakuwa :
1) GINI - MILNER - XHAQIRI
2) GINI - MILNER - KEITA
3) GINI - KEITA - XHAQIRI
Dah! Leo nimekamatwa pabaya na hii kazi Sifurukuti mpaka huu Uzi wa Mabingwa wa EPL 2018/19 nimekuwa naishia Kuchungulia tu!!
View attachment 992516
View attachment 992517
Today:
√ 3 Points
√ 3 Goal Scored
√ 0 Conceded
√ Clean Sheet
√ Firmino MOM