OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,316
Keita ni Kama mlicheza kamari tu.keita will flop at LFC kama Klopp akiendelea kumchezesha as LM, or kum-limit acheze kama Wijnaldum..
we blamed Rodgers kwa kumchezesha Firmino out of his preferred position, and he was the main reason why Markovic failed at LFC kwa kumchezesha as RWB, the same could happen kwa Keita kama akiendelea kuchezeshwa nje ya position yake aliyoizoea.
tuliingia kwenye vita na Leipzig, mpaka kuwa forced kumsubiria mwaka mzima, anakuja LFC na unaanza kumchezesha nje ya eneo lake na ukijua wazi kuwa he's not used na 433, na kwenye 4231 ameshazoea kucheza kwenye Pivot, kama umetoa 50m kwa mchezaji just play him to his strength, Keita best perfomance at LFC came when he played in his preferred position against West Ham and Burnley.
Fabinho forced that Bum henderson out of DM role but Klopp kafanya kile awezalo kumpenyeza Hendo kwenye 8-role and leaving Keita to rot in LM, funny thing is Keita rejected early Pep approach kwa-ajili ya Klopp, only for him to get benched/rotated with Hendo and a 33 year-old Milner
if he flops, Klopp will be responsible 100%
whats done cant be undone...we are out of Carabo, FA that aint comin back tusahau...
we should aim for what we can achiev n within our reach that namba 1 EPL n namba 2 UCL
Klopp should be marshalin his red army to get what is in our grip most likely i would choose EPL day n night cz that il mek him enter th hall of fame at Anfield...this il also mek us keep th best players n attract others special talents
Should he enter th market to achieve this? yes...Gomez whose partnership wt VVD ws solid aint comin back soon meanin we have a problem to deal with..
City has depth that makes em favourite so far.
YNWA
Ungekua shabiki wa mpira na sio timu huwezi kunena haya! Keita tangu atue liverpool hajachezeshwa nafasi yake kwenye double pivot CM au CAM na kama amechezeshwa bhasi ni mara chache mno.
Well said kwa mpira anaoupiga chelsea akipata foward afu man u akipata beki na foward mmoja plus kiungo mkabaji ni ngumu kuwazuia hao bila kuwasahau mancityukweli ni kwamba msimu huu nafasi ya kutwa ubingwa imekaa na ipo mikononi mwetu kuliko hii ya kuwaza 2020...
ishu ni kwamba washindani wetu wengi viwango vipo "chini" hivyo ikifika usajili mkuu naamini watasajili kabisa na hio itapelekea msimu ujao ligi kua ngumu sana..
Sarri na Unai watapewa sapoti ya kununua wachezaji wanaohitaji ili waweza kujenga vikosi vya ushindani..
Ole nae kama atabaki vile vile bodi itamsapoti..
Spas uwanja utakua umeisha na pengine sasa wataweza kununua wachezaji...
Klopp kama anadhani msimu ujao atakua na nafasi kama hii basi anajindanganya sana tu..
Manure, Gonaz, Chelshit, Manshit, Spas wote hawa msimu ujao watajiimarisha zaidi...
Swali ni je kwa ubishi wa Klopp kumuona Lovren ni beki bora na Henderson ni kiungo bora ndio zitatwaangamiza kabisa maana wenzetu watakua wameshajiimalisha vya kutosha sisi tukibaki na hawa jamaa na pengine sasa bila kombe hata Salah, Bobby na wengine wanaweza kutuacha hivi hivi.....
kila mchezaji anataka kushinda mataji na si vinginevyo
na itatu cost kweli maana Lovren, Gomez, Matip wote hawa ni pancha hivyo hata wa ki pona kukaa fit nako kwao ni shinda...not buying this january inaweza ika-tucost in the long run
but lets wait and see man
TW bado haijafungwa
huyu Chuga anafahamu hata wao Kante ni hivi hivi ili ku accomadate Jorginho....Ungekua shabiki wa mpira na sio timu huwezi kunena haya! Keita tangu atue liverpool hajachezeshwa nafasi yake kwenye double pivot CM au CAM na kama amechezeshwa bhasi ni mara chache mno.
How do u expect him to shine and give all his potential if klopp and his bench keep playing LM out of position!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tano....wamefufuka,
Umeshakula za uso game 2 mfululizo jomba yaani ni kawaida ukishatolewa bikra unakuwa sio mchoyo watajipigia sanaTano....
That never takes away fine idibala performance by kitoroli... Firmino mbaya sanaaaaUmeshakula za uso game 2 mfululizo jomba yaani ni kawaida ukishatolewa bikra unakuwa sio mchoyo watajipigia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kujitoa fahamu yaani watu wapo na current newz kuwa calabao out,FA out,bikra imetatuliwa kikatili,na UCL loading..............then ikifika mei utalia kilio cha mbwa hahahahahaha wenzio wananyoosha kwapa wewe unanyoosha bango la 5 kwa 1 dhidi ya Gunnerz hahahaha ingekuwa hivyo mm ningekuwa juu yako maana nimekupiga mpaka 8 kwa mtungi haha haha haha hahaThat never takes away fine idibala performance by kitoroli... Firmino mbaya sanaaaa
Alikilbisha mchanga kile kibushuti
Best news ni kwamba ar5ena1 will not finish on top four
It's a crappy team
Hongera kwa kujitoa fahamu yaani watu wapo na current newz kuwa calabao out,FA out,bikra imetatuliwa kikatili,na UCL loading..............then ikifika mei utalia kilio cha mbwa hahahahahaha wenzio wananyoosha kwapa wewe unanyoosha bango la 5 kwa 1 dhidi ya Gunnerz hahahaha ingekuwa hivyo mm ningekuwa juu yako maana nimekupiga mpaka 8 kwa mtungi haha haha haha haha
Loserfools bana sasa hivi hapo hata damu haijakukauka dadadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Language signifies juvenile in youHongera kwa kujitoa fahamu yaani watu wapo na current newz kuwa calabao out,FA out,bikra imetatuliwa kikatili,na UCL loading..............then ikifika mei utalia kilio cha mbwa hahahahahaha wenzio wananyoosha kwapa wewe unanyoosha bango la 5 kwa 1 dhidi ya Gunnerz hahahaha ingekuwa hivyo mm ningekuwa juu yako maana nimekupiga mpaka 8 kwa mtungi haha haha haha haha
Loserfools bana sasa hivi hapo hata damu haijakukauka dadadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kujitoa fahamu yaani watu wapo na current newz kuwa calabao out,FA out,bikra imetatuliwa kikatili,na UCL loading..............then ikifika mei utalia kilio cha mbwa hahahahahaha wenzio wananyoosha kwapa wewe unanyoosha bango la 5 kwa 1 dhidi ya Gunnerz hahahaha ingekuwa hivyo mm ningekuwa juu yako maana nimekupiga mpaka 8 kwa mtungi haha haha haha haha
Loserfools bana sasa hivi hapo hata damu haijakukauka dadadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kufananisha hao viungo uliowataja hapo na naby keita aiseeee utafungwa,naby keita ameachwa mbali sana na yule madson wa leicester