Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

afuu acha kuandika kike kike wewe

Hayo ma kheeeeee ya nini sasa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
afuu acha kuandika kike kike wewe

Hayo ma kheeeeee ya nini sasa


Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu kwani unateseka?

maana kule katika viunga vya GUNNERS ulikuja kukesha ukalala na huduma zote ulipata na shombo ulilitoa kama lote sasa iweje hizi kheee kheeeeee kheeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeee kheeee kheeeeeee kheeeeeeeeeeeee zangu zikutese wakati nina furaha mwenzio sisi ni ndugu bwana so tuwe wote katika shida na raha
 
Haha
Mkuu huo uandishi wako bhana yaan umekaa kinafiki nafiki


So unataka kuniambia huyo spurs kat yako na chelshit nani atamshusha chini spurs???

Huo uwezo the gono kwa sasa hamna kaeni pembeni mtazame yajayo tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushabiki wa mpira una beba watu wengi. Wenye mahaba tofauti.


Sent using Jamii Forums mobile app
naaaaaaaaaaaaaaam wengine hatunywi pombe,hatuvuti sigara,hatutumii shisha ila soka ndio burudani yetu na ndio maana tunaangalia mpaka sodo mitaani so tuvumiliane bandugu
 
wewe ilimradi tundu tayari sina hofu na wewe maana naweza kukukuta unatiririka kwenda chini tu hili ni soka na hii ndio EPL .......MTANYOOKA TU
 
na akienda timu nyingine usije ukaja hapa kumponda kijana wa watu.................

ni angalizo tu

Unajua kwasababu gani nimesema "Loading"

Kwasababu Ni tetesi tu za Magazeti zilizopo lakini Klopp hajazungumzia chochote kuhusu kumtaka Werner, wala uongozi wa Liverpool haujafanya Mazungumzo yoyote kwa Mchezaji wala Timu Yake.

Kwahiyo sasahivi ni Media ndiyo zilizokomalia hii issue ya Timo Werner!

Sasa ndiyo uelewe ikitokezea akienda Man United au Bayern usije hapa ukasema Liverpool walimtaka wakamkosa.

Siku Klopp atakayomtaka hatomkosa
 

Yani Hiyo Siku Naingojea kuona hao Failures wakiwa watazamaji kwenye viti badala ya wachezaji uwanjani..

• Sasahivi kinachomfanya Lovren akanyage Nyasi ni injuries za GOMEZ na MATIP tu.
Lakini Siku Gomez na Matip watakaporudi uwanjani basi Lovren atarudi alipokuwa.

• Tukumbuke kuwa Klopp alimtaka FEKIR lakini deal likagoma.
Sasa nikwamba bado Klopp yupo katika Mipango hiyo ya Kutafuta Attacking Midfielder au Striker.

Na uhakika ni Kwamba hii January au Summer ndiyo utafanyika usajili wa Hizo nafasi.

Sasa ndiyo hapo Mr. Failure aka Fake Captain atakapokuwa mtazamaji kwenye viti badala ya Mchezaji.
 
kama mpira unaamliwa na MTU kufikisha timu sehemu Fulani basi Geroud anastahili kuwa mchezaji bora wa dunia kwa sababu alifikisha timu yake ya ufaransa fainali na wakachukua ubingwa wa WC.
Hendason anabebwa na wachezaji wenzake tu wenye vipaji sio kwamba kaisidia Liverpool kiivinyo.
 
Lallana will be replaced by wonderkid from uturuki anaitwa Abdukadir Omur....price tag yake ni.£27m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo movement zake hazisaidii chochote kwenye team. Kweli masikini akipata matako hulia mbwata. kila mchezaji anaepata nafasi ya kacheza ni muhimu katika timu yoyote asipowafaa mnamuuza tu atawafaa wengine kwani mlilazimishwa kumnunua. Kama walishindwa mido ya Gerrad, Alonso & Machelano kuchukua EPL ndio ya kina Fab inawafanya muone wengine takataka ndio maana hamfanikiwi munawaza majungu zaidi kuliko umoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi katika sajiri hizi zenye ushindani kuna club iko tayari kuweka siri wazi kwamba wanamtaka mtu fulani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…