D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,650
- 121,061
hahahahaaaaa mashabiki wa arsenal wana maneno kuliko vijanadume vya simba chai malindi.Washajipiga Ban zamani
tunapindua matokeoMkuu Dully hivi hii laivu au recorded maana naona utabiri wako umekugeuka so far...😎😎😎
Salah kawa ashley young mpya
Una roho ngumu kama mgambo [emoji23][emoji23][emoji23]wewe
hakuna wakujipiga ban hapa game ni 90min so wait
Unaanza Simba Kafanyaje!?hahahahaaaaa mashabiki wa arsenal wana maneno kuliko vijanadume vya simba chai malindi.
ni matumaini yangu msimu hamutarejea makosa ya 2008/2009 mulipozuiwa na middlesborough.
tunapindua matokeo
COYG hapa hakuna cha kuhofia mapambano yanaendelea
all th best buddy....tunaongeza mengine..hatrick mbili kwa mpigo moja Salah na ya pili kwa Bobby th greattunapindua matokeo
Aisee mbona kama kuna nyingi wanatamaa ya kutufunga hawa acha tuwapige nyingi tuRefaa Malizaa Mpira Basii
Hivi huku chini ya uvungu havitaki kutoka
hakuna wakujificha mimi sio plastic fan tupo hapa mpaka game iishe
Hmm!tunapindua matokeo
나도 (nado)Bogoshipseyo Ndomnaa
Banned by Salah & Bobby
Hahahaha ana roho ya chuma huyo jamaa, ila najua moyo unamuuma sana sema ndo vile roho ya kiume..!!!
mwanaume hakati tamaa kizembe sio nyinyi mkipigwa game mbili munauza akaunti zenuHmm!
Nautamn Moyo Wako.
Safi Sana Lakini.
Hakuna Kukata Tamaa.
Bora Tuwaongozee Wawe Na Heshima Vitoto Ivyi.Aisee mbona kama kuna nyingi wanatamaa ya kutufunga hawa acha tuwapige nyingi tu
Gini hapo kari ni noma