Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
SG anamfundisha mwalimu wake kazi..
Well done Captain fantastic
Rangers 1
Celtic 0
8) LiverpoolFc 1 - 0 Arsenal (EPL) πͺβ
Nimeitazama hii mechi baada ya mechi kuisha wachezaji na mashabiki walikuwa wanalia kwa furaha aisee dahKabla Ya Mchezo Wa leo Celtic alimnyanyasa Rangers mpaka inatia Huruma. π‘
Katika Michezo yao 14 iliyopita kabla ya Michezo Wa leo.
β’ Celtic kashinda 12
β’ Draw 2
β’ Rangers hajashinda Hata Mmoja.
Lakini leo Our greatest Captain ever Steven Gerrard kavunja uteja na kumfunga Celtic.
ninampuuza kila siku ila ujinga haumishi huyi jamaa..nilikua namuheshimu sana hapa jukwaani ila ukinga unamzidi..Mpuuze watu wanapenda club na si chochote zaidi watu watabadilika kila inapostahili na tutasifia kila atakaeleta mafanikio na akiflop tunamgeuka vilevile.
Huyo ana wenzake wewe kama ni Cop mpuuze tu
Msimu huu hakuna wa kutuzuia
Kwa de gea unarefer nini wakati beki zimepwaya kashindwa kusaidia? Kapigwa goli 30 hadi leoUbora wa kipa unaonekana pale beki zinapo pwaya.
Refer kwa Degea, Oblack...
Sent using Jamii Forums mobile app