Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anawatia gundu huyu mtu nyie wana Arsenal

Fuatilieni mechi ambazo huwa anaside huwa zinakuaje at the end
Hahahahahaha tarehe 29 sisi Arsenal tutaleta maafa apo Anfield.

Kwanza leo Nu casto anakuja kukuvuruga apo apo kwako.
 
Siku zote Liverpool hupata tabu sana wanapokutana na Arsenal ..hata akishinda ni kwa tabu tu na bahati bahati.

Although Arsenal beki ni tatizo, lakini Unai ni mwalimu mzuri hatokubali kupoteza kizembe ivyo.

Uwezo wa kushinda bado upo upande wa Arsenal..
 
Sio ramli ni mahesabu tu ya kimpira.

Kwamba leo inaonyesha Liverpool atapoteza...
asa mahesabu hayo mnakuaga nayo tu nyie au...nwei muda unasogea baada yadakika 90+ tafadhali rejea hapa maana najua utakimbia kimya kimya huku sie tukichekelea ushindi wa 26 kwenye ligi 2018...
 
Match officials today vs Niucasto
Referee: Graham Scott
Assistants: Eddie Smart, Marc Perry
Fourth official: Lee Mason
 
MATCH-DAY

we should start with a midfield 3 of Gini-Hendo-Milner (Lallana)

Fabinho should be rested.

i'd like to see Mane and Firmino wakianzia bench and start with Shaqiri and Origi/Sturridge

start Moreno and rest Robertson, and Start TAA/Clyne at RB

hope Lovren wont injure himself today, we cant afford to field youngsters against Arsenal and City.
 
Engine ya wapi wakati hajui kukaba, pasi anazotoaga sio pasi zenye madhara. Ana jambo zuri moja tu kuwa yeye ni highly resistant kwenye kukabwa

Fine! Let's agree to disagree! You are right.

#YNWA
 
Confirmed line-up

Liverpool:
Alisson, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Robertson, Henderson, Wijnaldum, Shaqiri, Mane, Salah, Firmino.

Subs:
Mignolet, Clyne, Fabinho, Keita, Sturridge, Lallana, Origi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…