Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
That's a fact hommie!Keep on dreaming...
You Niggaz With Attitude=YNWA.YNWA
Deluded MOFOs like you are allowed to exist to make us laugh..Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
Kumbe ni kajina kabaya mm sijui , ninachojua upo UKAMENI FCKajina kanakuumiza haka haha
THE GONO tangu lin ww ukatuita liverpool au baada ya kukuita kajiba kabaya umeona usalimu amri
THE GONO nimerudia tena haya niue
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
.....ya kuokoteza okoteza tu.Apigwe tu
Bado yule CAN sijajua maisha yake kule.
Safari hii huu uchawi hautushiki, na Mungu wa kusikiliza maombi hayo hayupo, labda yule wa kuchonga.Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
Haha.....ya kuokoteza okoteza tu.
mnaishi kwa kukariri ndugu, hayo ya Gerrad yalishapita na sasa tupo kivingine na mnaishi kwa wasiwasi maana kila mkipiga ramli tutapigwa sie haoooo tunatoa vipigo na kujikusanyia pointi....Natabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
kabisaaaaa yaaani hapa hakuna pengo la CAN wala C10, na kama vile kuodoka kwao ilikua baraka kwetu....Haha
Huyu CAN
Alikuwa kasha aminiwa na kocha namba yake ilikuwa ipo ila sasa huko hata hatumsikii
Lakini sio mbay yy ndio amepelekea tumepata kiungo mzuri kbs ambae hana Maneno mengi na mtu kwenye pitch bwana FAB mwache huko si alitaka timu kubwa
Mkuu umeongea fact tupu kiukweli ishu ya defense mbovu ni problem ya mda mrefu sana kwani kipindi chote hicho ambayo tulikosa ubingwa tulikuwa tuna concide goli nyingi sana hata pale ambapo attacking ilikuwa ni moto wa kuotea mbaliUkweli usiofichika Mwaka 2013/14 kilichotukosesha ubingwa si Gerrard kujikwaa na kuanguka Bali Ni Defence.
Katika Huu Msimu 2013/14
•Tulifunga Magoli 101
• Tulifumgwa Magoli 50
• Clean sheet 12 tu
Hivi timu iliyoconcede magoli 50 Ni ya kuishangaa kukosa ubingwa?
Au kwenye Michezo 38 ya msimu mzima unatoa Clean sheet 12 then unashangaa kukosa ubingwa?
Rodgers defence Yake Mbovu aliyoshindwa kuiboresha ndiyo iliyomponza.
Sasa hii defence imemponza Klopp kwa Misimu 2 iliyopita mpaka akaja kushtuka Msimu huu baada ya Pressure kubwa kutoka Kwa Washabiki Kama sisi ambao tulionekana Wasaliti kwa Kipindi hicho tulichokuwa tukimlilia Klopp kuhusu defence ya timu.
Kwani kama tungelimuunga Mkono na si kumlilia na kumkosoa Imani Yake juu ya ubovu Wa Defence basi mpaka Leo tungelikuwa na Defence ya Mignolet/Karius, Lovren, Klavan na Moreno.
Tusingelimuona Gomez, VVD wala Robertson.
Sir Alex Ferguson: "Attack Wins You a Game, Defence Wins You a Titles "
Hizo ni ndoto mkuu. Wapiga ramli kila siku mkizidi kutupigia ramli sisi tunaendelea kushinda tuNatabiri DEJA VU!
Ile Liver wakiamini kabisa wanabeba kikombe cha epl, kama kipindi kile Gerrard alipojikwaa muda ambao hakupaswa kujikwaa na kumpasia Demba Ba, na kufuta ndoto za ubingwa labla ya crystal palace hawajazima kabisa basi raundi hii nauona mziki ule ule. Wazee wa liver wakiamini hivyo mara PAAAAAH, Salah katupia in the wrong net, mechi muhimu ya karibia kumaliza kazi kisha kila mtu wa liver back to reality.
Yaani mpaka saizi tunaelekea game ya 19 tumefungwa goli saba tu kwenye ligi, this is massive improvement kwenye backline yetu aisee.
Kama kukosa ueropa msimu uliopita kwny fainali dhidi ya dortmund ni uzembe wa morenoIwapo tutabeba Ubingwa basi Mtu hanielezi chochote Bali nitahesabu kuwa waliotupa Ubingwa Ni ALISSON, GOMEZ na VVD.
Kufunga kwenye season mbili zilizopita tulifunga Magoli mengi lakini mwisho Wa Siku tulikuwa tukigombania Top Four Kwa sababu ya Makipa Wabovu (Karius & Lovren) na Mabeki Wazembe (Lovren, Klavan na Moreno).
Kwani magoli waliyokuwa funga kina Mane, Firmino, Coutinho na Salah hayakuweza kusaidia chochote kwenye Mataji.
Lakini season hii tumefunga Magoli Machache tu, Ila nasisi tumefungwa Machache kiasi ya Kwamba Defence inatuokoa kila Mchezo.
Sir Alex Ferguson: "Attack wins you a game, Defence wins you a tittles "