Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Halafu watu wanakwambia alikuwa akinunua mech hiv chukulia van der sir, nemanja vidic,rio ferdinand, patrice evra na garry nevile unapita wapi au wes brown.
Point kabisa hata uchezaj unaficha makosaUkiwa vizuri ukibebwa kidogo tu UNABEBEKA...
Mwaka juz hujanifunga gemu hata moja ..toka Antonio Conte umenifunga gemu moja tu ..
Halafu watu wanakwambia alikuwa akinunua mech hiv chukulia van der sir, nemanja vidic,rio ferdinand, patrice evra na garry nevile unapita wapi au wes brown.
Fact mkuu.Wazungu wana msemo wao kwamba "Fortune Favours The Brave".
Kuna level ya ubora ukiifikia, automatically una attract upendeleo kutoka kwa marefa, it comes automatically.
If you know you know, you don't need posters for people to appreciate your job, results will carry your resume.give credit where it's due. that's called professionalism.
View attachment 974463
sawa mkuu.If you know you know, you don't need posters for people to appreciate your job, results will carry your resume.
To me, he is below average for an LFC player not to mention a skipper.
its well known kuwa Martin Tyler ni Man utd fan and Jim Beglin ni Liverpool fan,
but, Peter Drury the football poet ni shabiki wa team gani?
was going through his 3rd shaqiri goal commentary vs United again, but kuanzia mwanzo kabisa, he said this
"SHAQIRIIIIIIIIIIIIIIII, WINS IT INFRONT OF THE KOP, THEY HAVE SURELY WRAPPED IT NOW, LIVERPOOL TOP INFRONT OF THE KOP AND THEY PUT THE MANCHESTER UNITED GHOST BEHIND THEM"
Then akasema "MAN UNITED ARE ON A SWISS ROLL" (when explaining about shaqiri 3rd goal)
baada ya dakika 90 akamilizia na;
"THE OLD FOE BEATEN AND BEATEN WELL"
Jana commentary on VVD goal was a masterpiece
"HIS FIRST GOAL IN THE PREMIER LEAGUE FOR LIVERPOOL RED"
"THEY HAVE COMFORT, THEY HAVE A PREMIER LEAGUE LEAD AND THEY LAST TO CHRISTMAS DAY AND BEYOND"
Baada ya dakika 90 akamalizia kwa kusema;
"LIVERPOOL ARE CHRISTMAS NUMBER ONE"
No doubt he's a LFC fan man.
Peter Drury ni Liverpool damu damu...
Peter Drury ni Liverpool damu damu...
sawa mkuu.
lakini tuwage tunampa haki yake hata kwa hako "kamchango kadogo" anakotoa kwenye timu chief.
anahitajika kwa ajili ya squad depth nadhani.Mimi jamaa natamani kuona ameuzwa aisee, yaani nikiona kwenye kikosi yuko amani inakuwa ndogo sana.
Ila jamaa hayuko bias kabisa kujua timu anayoshabikia ni ngumu sana.