umenitafsiri vibaya mkuu ,mimi sio mchonganishi, mimi huwaga napenda kufika hapa kuwatania kidogo ndugu zangu wa loserfoolish..............lakini pia kuchange ideasMkuu mbona mchonganishi ....mimi napenda jukwaa hili watu wana madini mengi ya football tunabadilishana mawazo na kukubaliana kutokukubaliana ,amani itawale
baada ya generation ya kina sneijder ,RVP na arjen robben nafikiri uzao huu utakuwa kiboko wakiongozwa na baba la baba VVD pale nyumaHolland wanakuja ulingoni sio muda maana sio kwa talents kama hizo
Kwan wewe ulipata ngapi, mm ninachojua kocha wako alifurahia sare, sasa subir tuje hapo hapo geton kwako, nataka nione fabinho akipotezwa tena na kuanza kucheza rafuKwahiyo baada ya kutupoteza mulipata points ngapi labda?
Najua hutanijibu Bali utakuja na porojo lakini ndiyo nishakuuliza!
Ramsey, Torreira, Ozil, Auba, lacazette, Koscienly,mtaje mchezaji aliyenusa harufu ya EPL hapo loserfool
Hajibugi maswali huyo. Atakuja na lake [emoji23] [emoji23]Kwahiyo baada ya kutupoteza mulipata points ngapi labda?
Najua hutanijibu Bali utakuja na porojo lakini ndiyo nishakuuliza!
Kumbe upo kubishana, hata mech ya emirates mliongea sana ,kilichotokea fabinho akawa anarukaruka tu,
baada ya generation ya kina sneijder ,RVP na arjen robben nafikiri uzao huu utakuwa kiboko wakiongozwa na baba la baba VVD pale nyuma
na wakija Anfield wembe ni ule ule....Anfield imeshakua fortressHahaha, yaani hata ukienda kwenye thread yao huwakuti, wamejificha.
Dully vipi upepo wa vipigo huko mpaka lini au Unai effect ipo likizo, poleni sanaaasa
sahihi kabisa mkuu maana kuna majaa yalishaanza kutaka kujiokotezea vijirekodi visivyo na kichwa wala miguu......hahahahahahahahahahahahahahahahhaha mara shakil effect ooooh mara kolop effect oooooooooooohpssssssss rekodi zinakuja zenyewe na sio kuziokotaokota.
Carabao hampo hivyo zinazidi kushuka, Europa anakuja Napoli mkae poa au mtaambulia kama janaMbona hampend kusemwa nyie,
Hivi liver kuongoza lig , wakat hata raund ya 1 haijaisha mshajiona mmebeba EPL?
mimi nauhakika mwisho wa msimu mtatoka kapa ,
Kama hamuamin subirini,
Arsenal now tunajenga timu, hatuna presha, top 4 lazima, na kikombe kimoja kocha kaambiwa abebe ,kati ya carabao, FA au UEROPA,
halafu tukizama Uefa, ndio tupambanie Epl,
ahsante mkuu...kumbuka unai effect ilianza na kupoteza game mbili mwanzo wa msimu MAN CITY 2 vs ARSENAL 0 alafu ARSENAL 2 vs CHELSEA 3 na tumefunga 1st round kwa matokeo hayohayo SOTON 3 vs ARSENAL 2 then ARSENAL 0 vs SPURS 2 sasa tunaendelea na unbeaten run yetu ya game 22 hivyo najua ushaelewa kinachoendelea maana naanza na wewe mpaka zifike game 22...so jiandae kisaikolojia.....tar 29 nitakuwa hapa panapo majaaliwa ya MWENYEZIMUNGUDully vipi upepo wa vipigo huko mpaka lini au Unai effect ipo likizo, poleni sanaaa
unajitoa fahamu wakati najua una akili timamu kabisaRamsey, Torreira, Ozil, Auba, lacazette, Koscienly,
Hao wamenusa EPL?unajitoa fahamu wakati najua una akili timamu kabisa
nyinyi mna ukame wa maana so huwezi fananisha na sisi mkuu,wote tuna njaa lakini njaa yako ni kali sanaHao wamenusa EPL?
Ile inayokuza mbele na nyuma kila mkikutana eeh, lazima uijuehahahahaha yamekuwa hayo tena mbona unarukaruka wewe tupo ktk calabao umerukia ucl sasa unafikiri una maisha kule labda sio munchen nnayoijua mm
samahani mkuu sijaelewa hapo kwenye red ulikuwa na maana gani?Ile inayokuza mbele na nyuma kila mkikutana eeh, lazima uijue