kutokana na haya majeraha ya wachezaji hapa Klopp ashuke under 23 atuletee majembe maana kuna mandogo wapo vzuri sana...Jnr Uefa juzi Napoli kachezea 5 na wekedi ilee walitoka kuwapiga the Gunners hivyo naamini hatuta struggle wachezaji wapo...
au pengine Fabinho yupo flexible kucheza back four...
In Klopp we trust.
Sema AOX ni injury prone sanaaa aiseee,vyema kwa hao wameongeza mikataba maana wanaona kitu kwa KloppMkuu Fekir sidhan kama itawezekana maana mpk sasa Mane,boby,mo salah wameongeza mikataba
Nilijua mane atazingua kusaini bas nikahis fekir ndo wakuja kucover kwake
Lakin pia kuna AOX huyu nadhan alichangia kias fulan kuja LFC kile kipind maana AOX alikua yupo kwenye form nzur sanaa
Ki-Jana bado sana bro. Japo kwa umri wake wa 16 anafanya vyema na kaka zake wa u23 ila sidhani kama naweza kuwa tayari kucheza prem au ucl.use K-jana Hoever
he's 16 but can be better back-up than Nathaniel Philips,
can play as a right back too
Hapa sio kuwanga. Ni uhakika kabisa Liverpool hatashinda gemu ya kesho.Tokea August hamchoki kila Match Day mnakuja hapa kabla ya mechi kuwanga Liverpool ifungwe ila baada ya mechi mnajificha kwenye mahandaki yenu.
Kila Game Week ni dejavu! Mnakuja kuwanga ila mnakutana na shetani mtoa roho[emoji23][emoji23]
Week In Week Out, Dejavu.
Kesho baada ya mechi uwaite na wenzio akina Kimario, Antonio, Southern Highland, Mentor, Kalou, Dulla, Aaron na wanga wenzenu wote.
Mkuu nitatunza. Hii game itakuwa hiviTunza maneno mkuu usiyamalize yote.
Ni kesho tu ..kuhakikisha kwamba Man united inapata ushindi wa kishindo.!Umehama Chelsea mzee Ollagachu?
Kuna mechi ulishawahi tabiria liver ushindi?Mkuu nitatunza. Hii game itakuwa hivi
Either Man United or draw.
Nayo matokeo ya Napoli yanakupa kiburi?? Tulia mkuu kesho Mourihno atamfunza J. Klopp namna ligi unavyopaswa kwenda.!Klopp anajua hawa wanakujaga kupaki treni walau watoke na pointi moja..
sasa baada ya kupata matokeo swafi kabisa kwa kufumua ukuta maridadi wa Napoli kinachofuata ni Manure achezee kipigooo maana sioni mabeki wakazuia front 3 ya Kops...
Naitabiria kesho mkuu.Kuna mechi ulishawahi tabiria liver ushindi?
Hahaha akifungwa pia uje bana hatutakufukuzaNi kesho tu ..kuhakikisha kwamba Man united inapata ushindi wa kishindo.!
sio pep ni frank.......
Mkuu wewe uko maeneo gani?Hahaha akifungwa pia uje bana hatutakufukuza
kabisa th boy is a bit unlucky maana with Gomez injured n Lovren being Lovren this was a quite a chance for him to put his mark on this team...Man, we were discussing the other day jinsi gani form ya Matip ingeweza kutusaidia kwenye this busy period, only for him to get injured
Lol
the next 3 games are a bit tricky n th remainin squad or whoeva is picked from the academy shold be ready to embrace th challenges...use K-jana Hoever
he's 16 but can be better back-up than Nathaniel Philips,
can play as a right back too
Mkuu mliweka kambi humu kuipamba Napoli mara tunashuka Futuhi mara tutapigwa mengi na kadhalika yaliyotokea unayajua....Nayo matokeo ya Napoli yanakupa kiburi?? Tulia mkuu kesho Mourihno atamfunza J. Klopp namna ligi unavyopaswa kwenda.!
Ki-Jana bado sana bro. Japo kwa umri wake wa 16 anafanya vyema na kaka zake wa u23 ila sidhani kama naweza kuwa tayari kucheza prem au ucl.
Kumekuwa na suggestions kuwa Gini anaweza kutumika na CB.
hivi rekodi ya Klopp vs Murinyo unayo? ipo hivi Klopp Vs Jose Mourinho wamekutana gemu 9 murinyo kashinda 3 Klopp kashinda 4 wametoka draw 2. Kidume hapo yupo Kops na kesho kama kawa zinakua gemu 5Hapa sio kuwanga. Ni uhakika kabisa Liverpool hatashinda gemu ya kesho.
Mourihno sio kocha mzembe kiasi hicho, kwani ni msimu wa ngap huu unakalishwa na Man united? Pamoja na kwamba ni wabovu lakini Mourihno ànajua kucheza vizuri na Klopp..
Tunza hii comment ..amini kwamba kesho ni kipigo.
the next 3 games are a bit tricky n th remainin squad or whoeva is picked from the academy shold be ready to embrace th challenges...
Hopefuly Klopp should make his matchday sqaud by lookin at possible ways n winning formula if th current players cant cope wt 4 3 3 due to injuries then he shold come up wt a formation thaf il deliver th points..
Dont be surprised if see Milner/ Fabinho/VVD/Rob or Milnert/Gini/VVD/Rob