Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu ambazo hazichezi j4 na j5 zinafujo sana sijui kwanin ????

Timu yako kama inacheza alhamis si utulie ungoje wanaume waanze j4 na j5 hata kwenye mtungo mbabe ndio huwa anaanza
mbona na sisi tulicheza jumatano ile mechi na manchester united?
 
Leo mechi ngumu Sana Mkuu..Sababu mtacheza with handbreak mkiogopa Napoli kupata goli...

Napoli Pia wana Ukuta mzuri sana.Let's wait and see.
50-50 kwangu.
 
Leo mechi ngumu Sana Mkuu..Sababu mtacheza with handbreak mkiogopa Napoli kupata goli...

Napoli Pia wana Ukuta mzuri sana.Let's wait and see.
50-50 kwangu.
Bora ww umekuja na fact sio hao wengine wanakuja kupiga ramli
 
Sina presha yoyote tunakwenda Round 16 kuna Mateso makubwa yatatokea Anfield leo
 
nilikutana na hii kitu jana lakini nika shindwa pata link itakayonipa maelezo ya kutosha kuhusu hiyo T formation. Kuna yoyote anaweza nielimisha hii?
 
Nyie wazee wa Liver embu tuambieni ili mfuzu inabidi matokeo yaweje??
 
Tangu lini na wewe umekuwa mpiga ramli? Si unajinasibu wewe muumini wa 90mins!
 
Leo mechi ngumu Sana Mkuu..Sababu mtacheza with handbreak mkiogopa Napoli kupata goli...

Napoli Pia wana Ukuta mzuri sana.Let's wait and see.
50-50 kwangu.
Liverpool ninayoijua mimi haiwezi ogopa hata tukifungwa 2-0 first half bado tunauhakika wa kupambana kipindi cha pili. NAPOLI kwanza atafungwa nje ya uwanja ANFIELD ule sio uwanja ni handaki la maangamizi #roma wanazo taarifa kawaulize walivyookelewa anfield
 
TAA akicheza upande mmoja na Shaqir, tunacheza vizuri sana.
Pale Mid wacheze Gin,Fabinho,Keita.
Forwards Mane ( money) Bobby, Mooo.

Midfield nzuri sana hiyo

lakini leo nadhani kati ya Henderson au Milner ataanza kwenye midfield

naombea isiwe hivyo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…