Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

EPL YOTE

EPL YOTE

NARUDIA TENA EPL YOTE KWA SASA HAMNA KAMA SALAH

HUYO HAZARD AKAJISHINDANISHE LABDA MAKALIO NA SALAH

IKIKUUMA CHOMOAA
 
Lallan ndiyo anavyokera hivi! Mpira wa kueka tu watu wakafunga anataka aburute mpaka kapoteza 😡😡
 
wakati mwingine mtu unaota ni bora tungeshinda 1-0 hizo zingine tumpige napoli
umenichekesha sana mkuu dah.....mbona kama hujiamini hivi.........
but congraturation kwa point 3 muhimu.......game ilikuwa poa sana....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…