Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nadhani Na Kesho pia tutamkosa Sadio Mane!
But as long as tunae Xhaqiri inaleta unafuu katika mashambulizi coz XH23 asipoondoka na goli basi ataondoka na Assist.
Kama mpira wetu bado sanaPamoja na maneno mengi jana Old traford mlikuwa wazururaji, ooooooh tuko form sana halafu unadraw na Manchester ya Mourinho inayochechemea . Mpira wenu bado sana so punguzeni maneno na ngekewa
Nimetoka kusoma ule uzi wako wa TANZANIA ITAPIGWA TENA NA CAPE VERDE nimeamini unastahili kuwa mshabiki wa ARSENAL.Kesho nawaombea mpigwe tu
Kama mpira wetu bado sana
Mbona wewe ulipikuja emirate uliomba poo
Man u mwenzio katokea dirishani
Halafu hapo nimefanya usajir wa £70m tu,
Kesho nawaombea mpigwe tu
how do you see this line up vs Bournemouth tommorowView attachment 959758
Kesho nawaombea mpigwe tu
Mkuu Lovren ana injury hapo ataanza Matip.
Matip naye Ni injury Prone kwahiyo Klopp Ni Lazima awe na mpango mkakati Wa kuwa na Backup CB.. Na kwasasa nadhani Ni Ni yule dogo aliyetolewa U23.
Duh haya majeruh yanatuandama sana.
View attachment 959890
Legends wetu Djimi Traoré na Rafa Benitez wakiwa bado wana Mahusiano Mazuri mpaka sasa.
Together they won #UCL in 2005 at Istanbul
Today My Best XI:
4-2-3-1
ALISSON
TAA - MATIP - VVD - ROBO
GINI - FABI
XHAQ - BOBBY - KEITA
SALAH
SABS:
MIGNOLET
MORENO
MILNER
ORIGI
HENDO
STURRIDGE
CAMACHO