Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
kabisa kikosi cha leo murwa kabisa...hope Norbert ataedelea kuingia JF na kusikiliza kilio chetu hehe...3 points muhimu sana leo kuzipataIkiwa tutacheza Formation ya 4-2-3-1 basi sitokuwa na Chakumlaumu Klopp katika Kikosi Cha leo Hata tukifungwa as long as Hatachelewesha Kufanya sababu sahihi iwapo Mambo yatakwenda Kombo.
Nimependa Kikosi Cha leo! Sina Cha Kulaumu.
β 3 Points Ni Muhimu Kwa Leo
β Clean Sheet Ni Muhimu Kwa Leo
#YNWA
kabisa Mkuu Carlsberg ilitulia sanaaHuu uzi wa mwaka 1998/2000 nilikuwa naupenda sana na nilinunua japo nyie ni maadui zangu balaa hasa ile combination ya michael owen na abubakar titi camara nyuma yao alikuwa mnyama patrick berger wakat huo rigobert song alikuwa akicheza nne japo hakuwa na namba ya kudumu.View attachment 953480
Huu uzi wa mwaka 1998/2000 nilikuwa naupenda sana na nilinunua japo nyie ni maadui zangu balaa hasa ile combination ya michael owen na abubakar titi camara nyuma yao alikuwa mnyama patrick berger wakat huo rigobert song alikuwa akicheza nne japo hakuwa na namba ya kudumu.View attachment 953480
Noma sana nlikuwa namkubali sana kaka yake nabby keitaTiti Camara, mzee wa kupiga visigino.
Aisee.
Noma sana nlikuwa namkubali sana kaka yake nabby keita
kasome ubao wa pointi nduguMajiran vip, leo mnaweza kuvutwa shati
Papatu papatu