Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


I had the same understanding, ila baadae nimekuja kuona mahali wanasema ikitokea timu zote 3 zikamaliza na 9 points, head to head itahusisha timu zote combined, yaani inakuwa assumed kwamba ile timu ya 4 haikuwepo, kwa hiyo wanaangalia nani alipata points nyingi baina yao?

Unless nilielewa tofauti, ila hivyo ndo ilivyokuwa inaelezea.

Hata hivyo PSG atawafunga jamaa, sisi tuhangaike na Napoli tu.
 
Sitamuamini mpaka alete kombe.
Hivi alijiamini nini kumuachia Emre can?unakumbuka ndo alikuaga mhimili wa mido kipindi beki zetu mbuvu?

Nna zana hii laiti kama hapa Buvac huku Can yupo chini huku VVD NA DOGO naamini mechi zote za ligi tungeshinda kwa namna tunayo taka sisi
 
Coutinho wala sio janga hapa tumemkosa EMRE CAN tu
 
Wale wadogo wakiwa nyumbani kwao ni wazuri usiwadharau mkuu, hata Napoli mwenyewe kaambulia Draw tu. Usije shangaa PSG naye akapigwa vile vile.
 
mchezaji tunamjaj kwa kiwango chake cha sasa sio kwa kuangalia clip mkuu.....ingekuwa makocha wanapanga kwa kuangalia clip basi ingekuwa balaa dah maana hata antonio valencia asingekaa bench pale manure na yule hector bellerin angeuzwa paun 90 milion
 
to accomodate his prefered player Keita/Fabinho so Emre had so leave.....
in midfield tukikutana na timu wenye midfield inayomiliki mpira na ku press wil continue to suffer...
as i have said kipigo cha Redsta was supposed to wake up Klopp ila hakuamka tena Milner almost gifted PSG a goal like one vs Redsta alivyokua deposessed only for Allison to save us...
Milner is good bt his agings legs av to be managed wen to play n vs who...
Henderson is more of an anthlete than a footballer...
Gini in his good days s classy...bt sometym he jst get lost....
sasa huyu Klopp anatuwekea watu hao dhidi ya pressing n talented PSG midos ni kutumaliza...
 
it can happen kama real footballers watapewa nafasi ya kucheza.

but that midfield 3 ya Hendo/Gini/Milner haiwezi kuleta mabadiliko yeyote dhidi ya Napoli.
Na wakipangwa tusitarajie sana mazuri kutoka kwao mana wanajua kabisa wamepangwa kwa sababu ya shinikizo la mashabiki inaweza kuwapa presha japo si sana.
 
yaani toka mfungwe na wale zuwena zubeda mmepoteza dira yaani mmebaki na post za kujipa matumaini tu....................nyinyi ni wa futuhi tu lazma mjikubali bwana....hizi comment zenu zinachekesha yaani mtu unapanga mwenzio apoteze wewe ndio upite pambaneni na hali zenu
 
uki
ukichanganyikiwa unaweza kuongea mengi sana mpaka yasiyokuwepo hivi vipigo viwili vya psg na zuwenazubeda vimewapa hali ngumu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kabisa wanapiga long balls kwenda mbele to who??...nwa amesema soon ambayo haijulikani ni lini timu itarudi heavy metal way of futbol...hope soon yake is soon as vs Blu jirani
Bado hajitambui haoni tatizo na beki zinafanya kazi kubwa kudhibiti mashambulizi?haoni tatizo na washambuliaji wanakuja nyuma kuchukua mipira ndo wakafunge yani haoni kwali?
 
tunapambana kutokuja futuhi kumpiga Napoli hayo mengine ni by th way...
 
mchezaji tunamjaj kwa kiwango chake cha sasa sio kwa kuangalia clip mkuu.....ingekuwa makocha wanapanga kwa kuangalia clip basi ingekuwa balaa dah maana hata antonio valencia asingekaa bench pale manure na yule hector bellerin angeuzwa paun 90 milion

Point yako ni gani.!? Maana naona mambo mengi, Valencia mara Bellerin mara Paun 90M...
 
uki

ukichanganyikiwa unaweza kuongea mengi sana mpaka yasiyokuwepo hivi vipigo viwili vya psg na zuwenazubeda vimewapa hali ngumu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wakuu hii Zuwena Zubeda ni timu gani?.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…