Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
kila timu inajaribu ndugu hakuna mwenye uhakika na ndio mpira u lose today ua amend ua mistakes n u try again th next match...n luck s in our side gemu ipo nyumbaniiiiiMkuu Futuhi ndio ligi ya uwezo wako. Huko mnajaribu tu
kwanini asifungwe tena Anfield mbele ya Kops, wewe kwa sasa chekelea ila muda ukifika hutaamini kinachowakuta vijana wa Anceloti
kila timu inajaribu ndugu hakuna mwenye uhakika na ndio mpira u lose today ua amend ua mistakes n u try again th next match...n luck s in our side gemu ipo nyumbaniiiii
Kuna watu wapuuzi sana kaka!watu wasiojua soka hao wameathirika kisaikolojia na huyu kijana HENDO kwakuwa walishakuwa na imani kuwa jamaa ni mbovu basi hata mazuri yake hawayaoni na hata wakiyaona hawasifii bali watasema AMEBAHATISHA ......usipoteze nguvu nyingi kuhangaika nao ilhali unajua kasoro zao.................boko atoe VVD lawama ziende kwa HENDO LE CAPITAINO ahhhhhhhhhhhhhhh jamani eeeeeehhhhhh
poleni wakuu maana hata ile EUROPA nayo inawafaa........
kwa kiwango kile cha fabinho kwakweli hata mimi niningempanga hendo badala yake.................Ndio maana kuna rumors kibao zinasema fabinho anataka kusepa january sababu ya hiki kitu yani henderson yuko pitch yeye kakalia kuti kavu haiji kabisa
Pole Sana. Tatizo lenu huwa hamtaki kufungwa mkijifanya nyinyi ni Bora kuliko timu zingine. Hakuna timu isiyofungwa. Hata Kama upo kwenye form kiasi gani, lazima utafungwa tu.You don't know How and When nimetokanayo hii Timu! Mimi nimejiunga na JamiiForum Juzi tu lakini haimaani niliiona Liverpool Siku niliyojiunga JF coz wengi hupima ushabiki Wa Timu kupitia JF wakidhani aliyejiunga JF mwanzo ndiyo kaijua Liverpool mwanzo.
Kwahiyo Mimi nimetoka na Timu mbali tokea hawa Wanajiona Wapo JF kitambo ndiyokwanza wapo Primary School.
So, Bro hujui Ni Kiasi gani ninaumizwa na hii timu! Yani Mimi ninapofungwa siwezi kuchukulia powa Hata kidogo nikajifariji kuwa eti ndiyo Mchezo.
So, ninaumia sana kuona tuna timu ya kupambana then tunarudishwa nyuma na wajinga wachache tu.
Mkuu kusapport kila jamabo doesn't mean unaipend timu kuliko watu wote.
So, Mimi ninaipenda Liverpool that is why ninataka mafanikio kwani tumeshastruggle vya kutosha.
makosa hatufanyi tu sisi Majogoo hata hao Napoli wanaweza kufanya makosa...hivyo weka maneno ya akiba ndugu mpaka mechi ya mwisho utakuja kutoa macho kama fundi saa maana nina imani nyumbani tunashinda ushindi wa kuingia 16 bora...Kwenye mpira hakunaga bahati. Na hapo ndio unatimia ule msemo mpira ni mchezo wa makosa
Yan umfunge Napoli kwa tofauti ya goli mbili.? Acha utani mkuu
Hizi ni expectations tu.Kwani Napoli Ana nini cha ziada kumzidi Liverpool? Klopp ndio anazingua.Akipanga kikosi vizuri Napoli anaweza kufungwa hata 3-0 mpaka halftime.
Kwani Napoli Ana nini cha ziada kumzidi Liverpool? Klopp ndio anazingua.Akipanga kikosi vizuri Napoli anaweza kufungwa hata 3-0 mpaka halftime.
Clop mipango mingi mkuu wala usijali tuna tunza nguvu lazima tubebe kombe msimu huu.i have figured our team has made 2 critical mistakes this season in our ECL campaign:
1. strategic mistake:
Kutopata matokeo ugenini vs arguably the group's weakest team in Red Star lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati.
matokeo ya ugenini vs PSG and/or Napoil were always going to go either way (just like it did last nite and the other nite vs Napoli).
ile loss kule Belgrade was down to lack of winning mentality from Klopp and his charges. walikwenda kule akili yao ikiwa imejaa 4 - 0 result waliyoipata Anfield. Klopp needs to work on stamping out this dangerous mentality or else it'll be another empty handed season.
2. particular mistake vs PSG
I was very perplexed at our approach kwenye mechi yetu ya jana usiku. Klopp of all people should be fully aware of the threat posed by PSG's supply armour in Verratti. i tell you Verratti angecheza ile mechi tuliyowashinda PSG 3-2 pale Anfield, inawezekana matokeo yangekuwa tofauti endapo Klopp asingekuwa na plan ya to contain the problem at source (Verratti).
for me, our last nite's loss is 50% due to poor tactics from the gaffer (Klopp) himself. he should have got Verratti manned and fully occupied by someone like Firmino. Firmino alikuwa anarukaruka tu mule wakati kazi ambayo ingemfaa zaidi ingekuwa kula sahani moja na Verratti. as a result our midfield became overrun. no pressure on Verratti, culminating into our midfield backpedaling and chasing shadows.
am confident we will go through, though. we have been in a similar situation before as history will tell you about our beloved club in this competition. beating Napoli 1-0 or 2-0 is achievable at Anfield.
believe!
it's called tactical tweak.Clop mipango mingi mkuu wala usijali tuna tunza nguvu lazima tubebe kombe msimu huu.
Yani mshambuliaji akamkabe kiungo halafu tunapateje magoli?
Hilo la tactcal kwa mawazo yangu kaondoka nalo Buvac Kloop ana kariri tu.it's called tactical tweak.
your opinion respected.Hilo la tactcal kwa mawazo yangu kaondoka nalo Buvac Kloop ana kariri tu.
Fabinho toa hapo....imagine wewe ni Keita/Fabinho/Shaqiri, upo bench na unaona perfomance ile ya midfield na unagundua kuwa hao ndiyo wanakuweka bench
lazima ufikirie kuondoka tu
Napoli wanakocha ambae michuano ya ulaya kabeba na anajua namna ya kucheza kumbuka hilo japo sio tiket ya kumfunga liverpool.Kwani Napoli Ana nini cha ziada kumzidi Liverpool? Klopp ndio anazingua.Akipanga kikosi vizuri Napoli anaweza kufungwa hata 3-0 mpaka halftime.