King mie nakutegemea muongoni mwa wajua soka sikutegemea kutoa kauli kama hizi mtaniYani Hili Captain letu linavyotembea uwanjani tu na Kufokea Wanaume Wenziwe (Marefa) basi utajua wazi kuwa Ni SENGE flani tu hivi linaloringia Utaifa wake! Lakini kuhusu soka Hamna Kitu.
HENDO ni mchezaji mzuri sema tu nyinyi hamumpendi na mlishakuwa na imani jamaa hajui ila mumsifie na anapofanya mazuri basi hilo ndilo soka ....msimu uliopita mlifika final UCL na HENDO huyuhuyu leo mnafananisha HENDO na ile flopper FABINHO ambayo nilishasemaga kitambo kuwa hana nyendo na lazma ligi imshinde kama mwenzake BAKAYOKO usajili wa mbwembwe na pesa nyingi unaishia kukera watu na kutolewa kwa mkopo.......hata kule manure nao wana FREDINHO ni suala la mudaNgoja nikuulize swali Dogo tu naomba unijibu utakapoiyona hii post..
Katika Mido ya Arsenal Hendoshoga anaweza kucheza namba ya nani? Ozil? Torreira? Guedouzi (Not sure about Spelling)?
Sema ukweli kati ya Milner na Hendo nani kamzidi mwenzie?watu wasiojua soka hao wameathirika kisaikolojia na huyu kijana HENDO kwakuwa walishakuwa na imani kuwa jamaa ni mbovu basi hata mazuri yake hawayaoni na hata wakiyaona hawasifii bali watasema AMEBAHATISHA ......usipoteze nguvu nyingi kuhangaika nao ilhali unajua kasoro zao.................boko atoe VVD lawama ziende kwa HENDO LE CAPITAINO ahhhhhhhhhhhhhhh jamani eeeeeehhhhhh
poleni wakuu maana hata ile EUROPA nayo inawafaa........
Ndio maana kuna rumors kibao zinasema fabinho anataka kusepa january sababu ya hiki kitu yani henderson yuko pitch yeye kakalia kuti kavu haiji kabisaimagine wewe ni Keita/Fabinho/Shaqiri, upo bench na unaona perfomance ile ya midfield na unagundua kuwa hao ndiyo wanakuweka bench
lazima ufikirie kuondoka tu
HENDO ni mchezaji mzuri sema tu nyinyi hamumpendi na mlishakuwa na imani jamaa hajui ila mumsifie na anapofanya mazuri basi hilo ndilo soka ....msimu uliopita mlifika final UCL na HENDO huyuhuyu leo mnafananisha HENDO na ile flopper FABINHO ambayo nilishasemaga kitambo kuwa hana nyendo na lazma ligi imshinde kama mwenzake BAKAYOKO usajili wa mbwembwe na pesa nyingi unaishia kukera watu na kutolewa kwa mkopo.......hata kule manure nao wana FREDINHO ni suala la muda
King mie nakutegemea muongoni mwa wajua soka sikutegemea kutoa kauli kama hizi mtani
Mkuu bado tuna gemu na Naples hivyo zuia kicheko kwa muda angalau wa wiki mbili zijazo...maana tunapita kwenda last 16 sijui utanuna aje aisee...Nazipitia hizi comments naishia kucheka tu. Hiiii [emoji3][emoji3][emoji3]
@Numbisa. Respect...Liverpool wana kibarua kigumu kufuzu kwa hatua ya muondoano katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kujipata hoi mikononi mwa miamba wa Ufaransa Paris St-Germain na kupokezwa kichapo cha 2-1.
Mambo yalivyo sasa, vijana hao wa Jurgen Klopp waliofika fainali msimu uliopita, walio katika nafasi ya tatu Kundi C watahitaji kuwalaza Napoli wanaoongoza kundini katika mechi itakayochezewa Anfield mwezi ujao ndipo waweze kufuzu.
Vijana hao wa Serie A waliwalaza Red Star Belgrade 3-1 katika mechi hiyo nyingine kundi hilo.
Liverpool walizidiwa nguvu kwa vipindi virefu katika mechi hiyo iliyochezewa Paris, na mkwaju wa penalti wa James Milner uliozalisha bao lao la pekee mechi hiyo muda mfupi kabla ya mapumziko ilikuwa ndiyo mara yao ya pekee kulenga goli la PSG.
Kufikia wakati huo, walikuwa tayari wako mabao mawili nyuma, bao la kwanza wakifungwa na Juan Bernat baada ya utepetevu wa Virgil van Dijk na la pili wakafungwa katika shambulio la kujibu mashambulizi.
PSG wangekuwa na mabao mengi zaidi kipindi cha pili lakini bao la Marquinhos lilikataliwa kwa kuwa alikuwa ameotea.
Na kiungo huyo wa kati mlinzi pia alikosa bahati pale kipa mwenzake kutoka Brazil, Alisson, alipouzuia mpira wake wa kichwa kwa ustadi mkubwa.
Sheria za Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya zinaeleza kwamba iwapo timu zimetoshana nguvu kwa alama hatua ya makundi, basi hutenganishwa na matokeo ya mechi klabu zilipokutana.
Napoli waliwalaza Liverpool 1-0 nyumbani mechi ya kwanza.
PSG wakiwalaza Red Star mechi yao ya mwisho, basi watasonga, maana kwamba Liverpool watahitaji mambo yafuatayo dhidi ya Napoli:
Ushindi wa 1-0 utawawezesha kufuzu kwa sababu ya rekodi yao walipokutana na klabu nyingine.
Ushindi wa mabao mawili au matatu utawawezesha kusonga kwa sababu ya matokeo mazuri dhidi ya Napoli.
Hata hivyo, wakishinda 2-1 au 3-2, watatupwa nje, kwani Napoli watakuwa wamefunga bao au mabao ya ugenini, hivyo ndio watakaosonga kwa kufuata matokeo ya mechi klabu hizo zilipokutana.
Nini kinafuata?
Liverpool wana mechi nyingine muhimu, dhidi ya mahasimu wao wa Merseyside, Everton, katika Ligi ya Premia Jumapili.
Mkuu bado tuna gemu na Naples hivyo zuia kicheko kwa muda angalau wa wiki mbili zijazo...maana tunapita kwenda last 16 sijui utanuna aje aisee...
haha nipo ngangari kuteleza sio kuanguka...unatamani sana tuungane futuhi ila nitapambana mwanzo mwisho niingie last 16...Captain are ok right now.? Utaamka na hangover wewe
haha nipo ngangari kuteleza sio kuanguka...unatamani sana tuungane futuhi ila nitapambana mwanzo mwisho niingie last 16...
kwanini asifungwe tena Anfield mbele ya Kops, wewe kwa sasa chekelea ila muda ukifika hutaamini kinachowakuta vijana wa AncelotiYan umfunge Napoli kwa tofauti ya goli mbili.? Acha utani mkuu