Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
if the boys keep grinding result kama jana even wen we aint playin our usual heavy metal futbol then Pep is a worried man...Hata guadiola yeye mwenyewe anajua Liverpool ni kikwazo yeye kuchukua ubingwa,alipoulizwa kuhusu next season aliwataja Liverpool watasumbua sana kwenye ligi msimu ujao,maana msimu uliopita kaaibishwa licha ya watu kumsifia kocha bora kwenye mechi 4 kafungwa 3 ,kwenye mechi alizofungwa zote kazidiwa kila kitu.
kupita hapa salama tunihitaji wachezaji wote wawe fit 100% positive attitude to deliva 3points per game n mother luck on our side...From August mpaka November tumepita Salama!
Lakini hii ratiba ya December sio siri ina matches nyingi that is why naweza kuiita Ni Ratiba Ngumu.
December
√ 2 – Everton (H)
√ 5 – Burnley (A)
√ 8 – Bournemouth (A)
√ 16 – Manchester United (H)
√ 21 – Wolverhampton Wanderers (A)
√ 26 – Newcastle United (H)
√ 29 - Arsenal (H)
Yani Michezo 7 ndani ya Siku 28
From August mpaka November tumepita Salama!
Lakini hii ratiba ya December sio siri ina matches nyingi that is why naweza kuiita Ni Ratiba Ngumu.
December
√ 2 – Everton (H)
√ 5 – Burnley (A)
√ 8 – Bournemouth (A)
√ 16 – Manchester United (H)
√ 21 – Wolverhampton Wanderers (A)
√ 26 – Newcastle United (H)
√ 29 - Arsenal (H)
Yani Michezo 7 ndani ya Siku 28
Vitimu vidogo vinakaza msuli first half. Ni kazi sana kuvifunga.Haha mkuu
Timu ilibdilika kipind cha pili ila ukwel ni kwAmba kipind cha kwanza walikua hawaonyeshi nia ya kutafuta magoal
Ratiba ngumu kweli,From August mpaka November tumepita Salama!
Lakini hii ratiba ya December sio siri ina matches nyingi that is why naweza kuiita Ni Ratiba Ngumu.
December
√ 2 – Everton (H)
√ 5 – Burnley (A)
√ 8 – Bournemouth (A)
√ 16 – Manchester United (H)
√ 21 – Wolverhampton Wanderers (A)
√ 26 – Newcastle United (H)
√ 29 - Arsenal (H)
Yani Michezo 7 ndani ya Siku 28
Uzuri ni ngumu kwa timu zoteFrom August mpaka November tumepita Salama!
Lakini hii ratiba ya December sio siri ina matches nyingi that is why naweza kuiita Ni Ratiba Ngumu.
December
√ 2 – Everton (H)
√ 5 – Burnley (A)
√ 8 – Bournemouth (A)
√ 16 – Manchester United (H)
√ 21 – Wolverhampton Wanderers (A)
√ 26 – Newcastle United (H)
√ 29 - Arsenal (H)
Yani Michezo 7 ndani ya Siku 28
Bob?AlexanderView attachment 946208
Bob?
Nilimaanisha mbona goli la Firmino huweki?Itakua naona jina alexander arnold
legend in th making....yajayo yanafurahishaAlexander-ArnoldView attachment 946208
Nilimaanisha mbona goli la Firmino huweki?
BournermothFrom August mpaka November tumepita Salama!
Lakini hii ratiba ya December sio siri ina matches nyingi that is why naweza kuiita Ni Ratiba Ngumu.
December
√ 2 – Everton (H)
√ 5 – Burnley (A)
√ 8 – Bournemouth (A)
√ 16 – Manchester United (H)
√ 21 – Wolverhampton Wanderers (A)
√ 26 – Newcastle United (H)
√ 29 - Arsenal (H)
Yani Michezo 7 ndani ya Siku 28
Bournermoth
Man u
Wolves
Game ngumu sana hizi
Ni Bobby sio BobKumbe mnamuita bob duh sikujua
Bournermoth
Man u
Wolves
Game ngumu sana hizi