Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna wapenzi wa Liverpool, mioyo yao siyo ya kijogoo.
Hao ni pamoja na Manga ML,@ bardizbah@ King Ngwaba.
Kabla ya mechi humponda sana Klop.
Team ikishinda wanasema" watalala usingizi mololoo"
Klop ni mwl mzuri kupitiliza.
Haha mkuu
Timu ilibdilika kipind cha pili ila ukwel ni kwAmba kipind cha kwanza walikua hawaonyeshi nia ya kutafuta magoal
 
Wale fan wa chelshit siwaon huku sijui wanatafuta pakumuweka jorginho maana game na manu aliflop na hii ya Jana ndo kabisaa
 
i will take Firmino ova al otha front three any tym anywhere come rain come sunshine....this boy does so much yet so underrated....
 
Wale fan wa chelshit siwaon huku sijui wanatafuta pakumuweka jorginho maana game na manu aliflop na hii ya Jana ndo kabisaa
hehe akina Kimaro n crew aaa hiki kipigo hawatakisahau haraka kihivyooooo.....
utawaona mechi ya PSG wakisema tunafungwooo.....but we gonaa rule em at Paris
 
One season wonder Mo Salah tayari ameshafunga 7 goals and assisted 3 goals kwenye Premier League tu this season.

Just one behind Sergio Aguero (8 ⚽️)

This Man will never flop
n yet he aint full throttle....yajayo yanafurahishaaa....
 
n hey Shaqir had a good game n very good crossings umaliziaji ndio ulikosa...Sky sport MAN OF THE MATCH
 
Klopp is NOT a great Manager
Walituuzia fwamba kabisa
Klopp out
Klopp out
Kuna watu hapa mhhh!
 
Hendo ni nahodha wetu!
Klopp anayempa nafasi anajua kuliko mtu yyt hapa kuhusu soka
Hata close hatumfikii
Our Captain Hendo your apologize have been accepted,we will miss you against Everton
 
Hendo ni nahodha wetu!
Klopp anayempa nafasi anajua kuliko mtu yyt hapa kuhusu soka
Hata close hatumfikii
Our Captain Hendo your apologize have been accepted,we will miss you against Everton
Kwa mid tuliyonayo sasa hakuna cha kumkumbukia nacho hendo hata kimoja labda kwa nationality
 
To be honest sijawahi kuwawaza Chelsea msimu huu kwa chochote kile Coz nilijuwa tokea mapema kuwa hawana safari!!

Mimi kabla ya Ligi kuanza nilijua kuwa Guardiola kwa usanili anaofanya na ufundishaji wake ndiye kikwazo pekee kwa timu yetu

Hata guadiola yeye mwenyewe anajua Liverpool ni kikwazo yeye kuchukua ubingwa,alipoulizwa kuhusu next season aliwataja Liverpool watasumbua sana kwenye ligi msimu ujao,maana msimu uliopita kaaibishwa licha ya watu kumsifia kocha bora kwenye mechi 4 kafungwa 3 ,kwenye mechi alizofungwa zote kazidiwa kila kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…