Mifumo inaweza kuwa tatizo nakumbuka alikua tegemezi yule akimuweka benchi sturreg.Origi hamna mchezaji mule.
Last season alienda bundesliga hajafanya chochote akati madogo akina sancho na reis nelson wana shine tu huko
Mfumo huu inatakiwa mfungaji kamili na sio mido inayo jua kufunga bola ampange sturreg mbele
Leo Nataka tushinde lakini Usije shangaa Kuona Liverpool inafungwa Kwa Mara ya Kwanza EPL msimu huu
Klopp anaona knachotokea maybe ana plan B.. Because sielew kabisa whats going on there on vicarage roadDakika ya 24 Liverpool No On Target wakati Man City ana goli 2 muda huu...
Narudia tena as long as Pep Guardiola ataendelea Kubakia EPL basi hakuna timu itakayoshinda EPL.
Mkuu katika hili nakuunga mkono afuu hata mane na firminho naona wamepoteza userious kabsaMfumo huu inatakiwa mfungaji kamili na sio mido inayo jua kufunga bola ampange sturreg mbele
Yani mpaka mchezaji anaona mapungufu kocho sijui yupo wapi.Firmino coming too deep to collect the ball.
Absolute no intensity in the middle.
Shaqiri playing wide too.
Nnacho ona mwalimu alishaondoka asaivi tunamsimia mazoezi tu.ukitaka kuamini subiri Vvd aumieMkuu katika hili nakuunga mkono afuu hata mane na firminho naona wamepoteza userious kabsa