Mara nyingi mi ni msomaji tu humu but naona mara nyingi ww unajifanya kujua sana kiasi wengine wote wakubali tu chochote usemacho...Unawapa wenzio majina mara tpo reds,supertfans etc...huu kwangu mi naona ni ubwege wa kiwango kikubwa sana.Kwamba mtu kuwa na mawazo tofauti na wewr hayupo sahihi hii unawezaje kuiweka hivyo.Wewe km unaandika andika tu kama wanavyofanya wenzio acha kujishaua na vimanenomaneno vya kujiwekea ukuta ili usichalenjiwe... By tge way wewe wala hujui ku argue with facts kama unavyotaka uonekane.Ni bonge la boya.Kuna siju uneweka uongo hapa kuhusu maneno ya vvd kwa hendo jamaa kalou km ckosei kakuumbua hapa ukabaki na miaibu tu.Sasa km waweza danganya ishu ndogo kama hiyo unaweza jiita unajua soka we kidudu mtu?We boya kichizi man....Halafu hili jujwaa lina watu poa wengi tu ila wewe na much know mwenzako mmoja hana hata mwaka humu ndo mnaleta upuuzi wa kujiona ni maklopp....Superfans will welcome you to discuss the weaknesses of Fabinho, Keita, Firmino, Salah, Moreno, TAA, Gomez, Sturridge etc and they will act like their in a very deep discussion.
but i dare you to start a dialogue about Henderson, Lovren, Milner, Lallana, Robertson, Mane, Solanke and our world class signings Allison and VVD
i remember kipindi kile ambacho Allison alikuwa kacheza game moja tu (competitive) and i had to make a combination Xi ya LFC and City and put ahead Ederson who alikuwa ametoka kushinda EPL title with 100 points dhidi ya Allison ambaye katoka kwenye a top four finish team As Roma kwenye less-competitive league (it was just logical),
Man, Dude came at me ready to leave with blood in his hands, kisa tu i used a very ordinary logic to put Ederson ahead of Allison
ni kama vile useme, VVD is nearly/entering into undisputed top 3 world class CB in the world, but Laporte at City (in his recent form) kwa msimu huu anacheza on good level and a very close competitor to VVD. superfans wont understand this
Na kwenye 4-3-3 ukisema umuweke Firmino kwenye mid.. where do you think ata fit man?? I need to know that..noticed in the Fulham game, klopp played Salah as a 9 in the 4231 with Mane and Firmino kwenye flanks and Shaqiri as a 10..
could be a downfall to Bobby as he cant play well kwenye wings.
i remember saying what was the point of playing Bobby upfront if we dont press anymore, naona Klopp kaona hiyo ishu and decided to deploy salah upfront, but again playing Bobby on the wings kutazidi kupunguza his goal scoring chances, need to stick him kwenye his old number 10 and play Shaqiri kwenye RW position, (understandably Shaqiri lacks that needful pace and pressing ability in the half spaces to be as a RW in Klopps 4231), but you cant just stick Firmino there because of his halfspaces pressing abilities kwasababu he needs goals and he is the only one who can create for us
theres absolute no need for bobby to play upfront if we dont press from the midfield, but also no need to put Bobby wide kwaajili ya kucover channels and pressing from deep wide areas, let Robertson and Milner do that, because Firmino needs goals now to turn his form around.
been saying on here kuwa Gini is so good in advanced roles (10), even when we missed on Fekir, i suggested in my opinion kuhusu a midfield of Faby/keita and Gini as a 10. and now Koeman is proving me right, playing Gini as a 10 and you can see his impact in Netherlands team, but at LFC klopp plays him as a 6/8 and restrict him to dribble or move the ball into the lines, he's just a runner and high volume passer which siyo kabisa his technical side of the game, thats why he always fell short kwenye suala la passing volume in the mid (though he's adopted vizuri kwenye suala la "Refuge midfielder" kama Hendo and Millie) in short Klopp has turned him into a workhorse, something which he's trying to do kwa Faby and keita which will be impossible kama ilivyokuwa kwa Gundogan (ambaye alimweka nje kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kumsajili) but at the end he shaped his midfield to Gundogan own strenghth because Gundp didnt change his style of play, could be the same to Keita whos main strenght is dribbling, so dont think atafanikiwa kumfanya awe runner or high volume passer in the middle, Always watching Fabinho and Laugh, dude keep on playing his usual calmness football (the long legged bastard hahaha)
what happened to Gini could very well happen to Firmino, turn a well established false number 9 into channels covering merchant, TITE (Brazil coach) said last week kuwa he sees Firmino as a real number 9, not just a fals number 9, think it was a slight dig at Klopp.
Mara nyingi mi ni msomaji tu humu but naona mara nyingi ww unajifanya kujua sana kiasi wengine wote wakubali tu chochote usemacho...Unawapa wenzio majina mara tpo reds,supertfans etc...huu kwangu mi naona ni ubwege wa kiwango kikubwa sana.Kwamba mtu kuwa na mawazo tofauti na wewr hayupo sahihi hii unawezaje kuiweka hivyo.Wewe km unaandika andika tu kama wanavyofanya wenzio acha kujishaua na vimanenomaneno vya kujiwekea ukuta ili usichalenjiwe... By tge way wewe wala hujui ku argue with facts kama unavyotaka uonekane.Ni bonge la boya.Kuna siju uneweka uongo hapa kuhusu maneno ya vvd kwa hendo jamaa kalou km ckosei kakuumbua hapa ukabaki na miaibu tu.Sasa km waweza danganya ishu ndogo kama hiyo unaweza jiita unajua soka we kidudu mtu?We boya kichizi man....Halafu hili jujwaa lina watu poa wengi tu ila wewe na much know mwenzako mmoja hana hata mwaka humu ndo mnaleta upuuzi wa kujiona ni maklopp....
Naendelea kusoma
Liverpool have no intention of launching a bid for Bundesliga top scorer Luka Jovic.
Na kwenye 4-3-3 ukisema umuweke Firmino kwenye mid.. where do you think ata fit man?? I need to know that..
kwenye 433 he will play as a 10 pia..
i mean, could be Gini/Hendo/Firimino or Hendo/Milner/Firimino
10 behind Shaqiri (RW)/Mane (LW)/Salah (ST), but this could be hard kuwa practised as Salah cant be deployed as a 9 in a full flowing 433, because Klopp always anaweka runners (hendo/Gini/Milner) kwenye midfield ambao primary job ni kupres from the mid and release the ball quick kwenye advanced areas, so mara nyingi tunakuwa short in possession kwenye half spaces and thats why huwa tunahitaji Bobby pressing ili kuretain the ball upfrpont na kutengeneza chances kwa kina Salah, so salah wont be good as a 9 kwenye 433, but can be so good kwenye 4231.
You know, Firmino started his career as a Defensive midfieder, thats why he is so good at retaining the ball, but switched to number 10, and now Klopp use him as a 9, as Klopp likes STs wanao-press na kuhold play upfront (well used to be his style of play kwenye gegen' pressing) but now ameslow down a bit, thats why Firmino anakuwa out of pace..
he's a good 10, but Klopp anajua tayari kuwa hawezi tena kumtumia as a 10, and kwa Klopp kuendelea kuscout number 10, shows exactly kuwa hana mpango wa kumtumia tena as a 10
one thing is certain, kuwa this season tunaplay katika set up mbili, 433 and 4231, in a 433 Firmino will always play as a 9 and in a 4231 he will play from the right wing, but if Klopp will ditch his defensive style of play na kurudi kwenye high volume pressing Firmino atacheza as a 9 kwenye mifumo yote, but kwasasa when we do not like to press, salah will play as a 9 kwenye 4231, with that being said, i like 4231 because inatupa stability na balance kwenye defense and attack as it helped Salah to re-claim his form and to be fair he is our only goal scoring threat.
Mbona mimi nadhani ni tofauti na unavosema
When we play 4231 Salah plays as a lone Striker and Firmino plays as an attacking midfielder(10) and Shaqiri as a RW Mane as a LW
James Pearce saying this is his best team (he prefer 4231 also)
Allison-TAA-Gomez-VVD-Robertson-Gini-Henderson-Shaqiri-Firmino-Mane-Salah
I know he couldnt leave Henderson out lol, but having 2 runners in a pivot is a suicide man
he's refusing to acknowledge Fabinho calmness kwenye pivot, 4 games in 4231 with Fabinho; no loss, 1 draw and 3 wins.
i can't agree more.We can have a dialogue about Allison lack of positioning awareness..
but apparently he is untouchable on this platform..
Said it many months ago, that De Gea is a World class short-stopping keeper but he's not good at distribution and his main weakness is playing near-post balls. got mad laughed at, and now he's being exposed massively. mind; he still the best short-stopper in my eyes but ana weaknesses
same to our 66m champ, but he cant be criticized on here, or the thread will be a mess week nzima.