Sioni January kuwa Kuna Business yoyote itakayofanyika ndani ya Liverpool...
Anapoulizwa kwenye Press kauli ya Klopp Ni moja tu "Kila Nafasi ina zaidi ya Mchezaji Mmoja"....
Harry Kane with another shit perfomance,
but its Salah who gets the hate from these bitter rival fans
my boy has managed to set his bar too high kwenye huu mpira wa miguu
he is a Super-star.
Kesho na fulham
Nayaona maajabu mengine yakienda kutokea
AsanteKesho Fulham anapigwa 6+, Bila kusahau Salah anaondoka na hatrick kesho
Maybe kuna suprise bro? you never know
was told tunaweza kujaribu for a 10
but, i'd like to see wan-bissaka at LFC, hata kama utakuwa summer man.
he's so good, considering his age.
Posts zingine bhana!Unaweza jisahau ukafikiri upo kwenye forum ya waganga wa kienyeji!!Credible posts chache saná humu siku hizi.Pamejaa ubishani wa kitoto,ubishi wa kifala na utabiri wa uganga wa kienyeji..It used to be a good place for football discussion though...
Sasahivi tumekuwa Wapiga Ramli wakubwa kwenye huu Uzi!!
Tulichobakisha Ni Mambo haya kwa sasa!!
√ Leo tunapiga mtu 4
√ Marahii Nabeb EPL na CL
Na yenye kufanana na Kama hayo.
Ukiuliza ponts wapiga Ramli watakwambia Kama msimu uliopita Tulifika Fainali ya CL kwanini marahii tusibebe??
Yani bora Hata uende Beach ukaogelee utafanya la mana kuliko kusoma comment za wapiga Ramli.
Tuonane saa 15:30 angalau tujifariji