Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Namchukia Jergün
HahaaaaaaaLiverpool msijiroge kucheza mechi za Alhamisi. Yani mtapoteana EPL mpaka mseme po
Sawa lkn muda unasonga, na watoto hawaonesh dalili ya kulegea ,zaid wanawatafuta bao la tatu,-mtoto ni mtoto tu.
Naona watoto washalishusha turubai, bado kulifunga si majirani tunajiuliza je msiba utakuwepo.
Kipindi cha pili mtakuja vizurKuliko kwenda Yuropa bora tuwe wa mwisho kwenye ligi...
Red Stars anatudhalilisha!
Liverpool no shot on target what a poor performance from poor strikers
Najiuliza sana nini kimeikumba liverpool safar hiiLiverpool no shot on target what a poor performance from poor strikers
-hukunielewaSawa lkn muda unasonga, na watoto hawaonesh dalili ya kulegea ,zaid wanawatafuta bao la tatu,
Mkijiroga mpigwe hii game,
Huko napoli ashinde,
Mnakuwa mmejiweka juu ya mawe, muda wowote mbaibukia FUTUHI CUP
Sawa lkn muda unasonga, na watoto hawaonesh dalili ya kulegea ,zaid wanawatafuta bao la tatu,
Mkijiroga mpigwe hii game,
Huko napoli ashinde,
Mnakuwa mmejiweka juu ya mawe, muda wowote mbaibukia FUTUHI CUP