Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


To this day, huwa nasema ilikuwa ni "foul-play" ya FA and other accomplices.

Tulichezewa mchezo.
 
hata msimu uliopita ilikua hivyo hivyo...ona sasa mapato ya Tv kwa Liverpool UCL ni £71m...edelea na Europa ndugu huu mziki haukuhusu
Hayo mapato kwa sababu ulifika final uefa.

Usingefika ungekuwa chini ya hapo.

Chelsea alifika robo final lakini ametia kibindoni £57 angefika semi final tu ungeachwa mbali sana.
 
Klopp revealed that Lovren and Lallana came close in the players’ vote behind Van Dijk and Wijnaldum
 
Today: Liverpool FC v/s Cardiff City

Only I need

√ 3 Points
√ Clean Sheet


About number of goals and Who or How will Score I don't Care
 
Mwenye akili na azitumie, hapa wachache tushaelewa kwamba Van ndio cap na Wij ni msaidizi
Raha sana yani hii ana andaliwa kisaikolojia Hendo ndo kwishnei

Kama alikua anapangwa sababu ni kapteen sijui akivuliwa atapangwa under twent?
 
Today: Liverpool FC v/s Cardiff City

Only I need

√ 3 Points
√ Clean Sheet


About number of goals and Who or How will Score I don't Care
Hivi hawa si ndio tuliwashusha daraja kwa magoli sita kwa tatu? Kipindi cha Suarez
 
Hayo mapato kwa sababu ulifika final uefa.

Usingefika ungekuwa chini ya hapo.

Chelsea alifika robo final lakini ametia kibindoni £57 angefika semi final tu ungeachwa mbali sana.
ndio uwezo wako ulikoishia ndugu semi faino....so acha kujitetea ndugu...
Na msimu huu pia tunasonga mbele mdogo mdogo mpaka fainali na kulibeba taji..
huko dodo cup ulipo sidhani hata mkichukua ubingwa mtapata £30m...
 
Salah 0 trophies

Hazard ...nadhani unajua!
Humu ndani vikombe vyao wameviona kupitia youtube,anayemkaribia hazard kwa kubeba medal trophies ni kijana wetu sturredge tu, team nzima wachezaji hawajui vikombe ni nini ,kushiriki wanaweza kushinda sio lengo lao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…