Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Two games two clean sheets
Malalamiko yako haya make sense yyt ile
TIA na Gomez wana matatizo yao ya positioning ambayo wame tu cost mechi kadhaa!
Gomez mechi na Chelsea kila saa yupo wrong side,siku ile Willian na Hazard wangekuwa sawa wangeimaliza ile mechi dakika ya 45 tu!
TIA anamuweka mtu ndani na yy anakaa nje,mechi na Man U mfano mzuri
Lovren na VVD ndiyo watu wetu wa nyuma wakiwa wazima!
 
LoooooL
Bro ignore that dude..

unaweza ukakuta unachat/kubishana na mtu kakuzidi miaka 50, na ukawa unamkosea Mungu tu Aisee.

a young dude anayefatilia modern football hawezi kuwa na fikra za ajabu kama za huyo jamaa.
Wewe ndiyo fikra zako za HOVYO za kuona unajua soka kuliko Klopp
Klopp anampa Hendo lkn kavulana kapo kwake huko kanaona kanajua zaidi ya Klopp
Southgate anampa Hendo mbele ya hao Miungu wenu akina Dier lkn eti ww unajua kuliko Southgate
Klopp anampa Lovren kati na VVD lkn nyie ndiyo mnajua zaidi ya Klopp
Nyie tunawapuuza tu,Klopp know better kuliko nyie ambao hamjui lolote kuhusu soka zaidi ya majina!
Vipi siku hizi umeacha kauli yako ya HOVYO ya Klopp out?
 
The Greatest Midfielder Ever in English Football "Le Capitane Hendo" has 6 passes in his locker:

1) Side pass
2) Square pass
3) Back pass
4) Delayed pass
5) Overhit pass
6) Wrong pass


He is our greatest Captain ever
Aliye ingia badala yake anayejua sana mbona hakufanya tuongeze bao?
Upuuzi tu siku hizi hapa unaongezeka
 
Kama ww na genge lako HAMNA
Sema wewe na genge lako mnao jiona mnajua soka menejimenti zaidi ya Klopp ndiyo hamna taharuki kuumia kwa Captain!
Sisi wana Liverpool na kocha wetu tuna taharuki akiumia mchezaji yyt yule hata Origi
Maneno haya kasema Klopp kuhusu Hendo:
Liverpool News: Jordan Henderson still key despite midfield signings - Klopp | Goal.com

Lkn hawa wanao jifanya wanajua zaidi hata ya Klopp ndiyo wanaongea pointless kabisa!
Tunawapuuza
 
**Mane is in contention to play vs Red Star
Keita.

**Henderson are yet to recover.

**Milner and Wijnaldum should be ready to play.
Habari nzuri sana,Mane angekuwepo na Hudd ingekuwa rahisi zaidi kwetu
Mechi hizi mbili za home tunahitaji bao nyingi
Mane is GOOD!
 
**Mane is in contention to play vs Red Star
Keita.

**Henderson are yet to recover.

**Milner and Wijnaldum should be ready to play.

Hiyo ni must win game, hope vijana watatupa ushindi.

Otherwise kundi litakuwa gumu.
 
our front three need to bring back the scoring mojo n really quick maana ubingwa msimu huu si wa kuukosa...wakati tuna struggle kufunga a "new"candidate kuchukua ubingwa wa EPl anakuja kwa kasi aka The Gooners...
We need to see the scoreboard with 2/3/4 goals caution sio haka kamoja ambako kakirudishwa in the dying seconds of any game we are done...
YNWA...
 
Scouting reports zinasema we were scouting Demirbay leo kwenye game yao dhidi ya Lyon.

Wont complain kama akisign but nadhani ametoka kwenye same same knee problems kama za Fekir.

Maybe we want him because of his RC? ni £28m tu.
 
Whats more interesting ni kuwa LFC ni moja ya Clubs ambazo zimeonesha interest kwa Depay..

Man, read somewhere kuwa Utd wana first refusal kuhusu Depay, will be so interesting kama tukiamua kuifollow-up hii deal.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…