Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,616
- 81,686
Hiyo link mbona jau tu haikubaliLFC world world wide supporters whatsapp group, join via:
LFC W[emoji460]rld wide supporters
Strictly to english commentations as it is an international forum. Ukipatana na comment ya Jamie caragher kwa group usishtuke, nae ni member kama wewe [emoji12].
YNWA
Ngoja jumapili mnapiga City afu zeru zeru karudi kazi mnayo kweli kweli
Kesho ni sare tu hamna namna
Hahahaa nilifikiri utabishaInaonesha bado Hamjakata Tamaa na Muna Matumaini Kuwa Liverpool itaishia tu Hatua ya Makundi! Si ndio?
By the way! Hivi unajua Kuwa Hata Tukidraw bado Tutakuwa Tunaongoza Kundi letu?
Massive improvementLiverpool after 7 Premier League games in 17/18
• 3 wins
• 3 draws
• 1 loss
• 13 goals scored
• 12 conceded.
After 7 games in 18/19
√ 6 wins
√ 0 loss
√ 1 draw
√ 15 goals scored
√ 3 conceded
ryana fan, njoo umuone huyu mwenzako, au yeye huwa ana haki ya kuongea kabla ya mechi?!
Maana naona huwa unawakataza mashabiki wa The Reds kuongea kabla ya mechi!
He's a leader.Mpaka Sasa Ninaifikiria Kauli Ya VVD aliyosema "Mchezaji Yeyote (Wa Liverpool) asiyekubaliana na Na Mfumo wa Rotation na Kufanyiwa Sub aondoke Liverpool"...
Hivi Mchezaji aliyekuja Juzi tu Liverpool anapata wapi ujasiri Wa Kusema Maneno Hayo Mbele ya Wachezaji Waandamizi??
Coz Kuna Mignolet, Clyne, Moreno, Clyne, Lovren, Henderson, Lallana, Sturridge na Origi ambao ni Wachezaji Wakongwe wasiokuwa na Uhakika wa Namba yani Ataingia Sub au Akianza atatolewa Kwa Sab.
Then anatokea VVD wa juzi tu anatembeza Mkwala! 😀😀😀
Nadhani Hii Ni dalili ya Wazi Kuwa Huyu Jamaa Ameshaanza Kukabidhiwa Majukumu ya Ucaptain manake si Kwa Mkwala huu.
Haka kajmaa kelvin.b ni moto jumapil kama akicheza basi ujue shughuli ipoNgoja jumapili mnapiga City afu zeru zeru karudi kazi mnayo kweli kweli
Historia sio ishu mpira at anytime can change kila msimu huwa timu hujipanga upya na mikakati mipya,kumbuku tuna point sawa kila upande kushinda ni muhimu so tusijiaminishe kiboyo na historiaWhat does that signify?
Last Season:
Liverpool 4 - 3 Man City
Liverpool 3 - 0 Man City
Man City 1 - 2 Liverpool
Mechi Zote Hizo huyo the so called Zeruzeru Alikuwemo!
Jifunze Mpira ndugu.
He is so rough kuna wakati nilijutua yeye kutemwa ila natambua klopp aliona mbaliView attachment 884317
Mamadou Sakho’s moment of madness gifts Bournemouth late victory
Huyu nae bora aliondoka.