Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hajashinda EPL ina maana mengine ameshinda? Au hujaelewa swali mkuu?

Kwanini aliweza kubeba vikombe viwili Bundesliga lakini EPL ameshindwa? Hata Yale mnayoita ya mbuzi.

Mwenzie Conte kaja msim wa kwanza tu kabeba, Gurdiola kaja ndani ya misimu miwili kabeba ...Mou kabeba Europa, Carabao, Community shield ndan ya msim wa kwanza tu Man u ...yeye Klopp ana misimu mingap tang aje England hajabeba kombe lolote lile? Bado anajenga timu?

Ok basi kumbe bado anashindana! Wengine wakindelea kuchukua.
Mpaka sasa hajashinda EPL lakini hajashindwa kwasababu bado yupo anashindana
 
Unatakiwa ujuandae kisaikolojia mkuu ..kipigo kinakuja wala hakuna wa kuzuia. Fanya haraka maana uku unapo paita futui panakungoja.

Leo huna pakutokea.

#Sarriball_isComing.
 
Umejibiwa Hajashinda
 
Hivi unataka ujibiwe nn?
Maake unauliza na majibu unayo,
 
Breaking News

Various sources report that Bobby Firmino, who has picked up an eye injury in Saturday's match vs Tottenham has been included in LFC's CL squad for today's encounter vs PSG
 
Hahahaha huwa nasema hii timu kuanzia kocha mpka mishabiki huwa haijiamini kabisa. Mfano leo utashuhudia mengi tu
we mzee wa futuhi huyo ni mgeni mwenzio, nyie subirini alhamisi jumanne na jumatano ni maji ya shingo nyie level zenu maji ya ugoko.
 
Ndo jibu hlo
 
UEFA Youth League (u19s)

Halft Time: Liverpool 3-0 PSG

Goals by: Rhys Williams, Rafael Camacho na Bobby Adekanye.

Kuna madogo inabidi tuwafaidi kidogo kwenye team ya wakubwa msimu huu. Huyu Adam Lewis (c) beki moja safi ya kushoto. Curtis Jones kama Coutinho.. Adekanye ana nguvu anajua kukaba na ana pace na skill ana mguu mmoja safi wa kushoto.
 
Yani Hata Sielewi!! Hivi Huyu Fabinho Kuwa Hagaiwi Hata Zile Dakika 3 za Extra Time Ni Kweli Kuwa Anaandaliwa Ajifunze Au Kuna Jambo Nyuma ya Pazia??
Yani Kama Haiingii Akilini Hivi!!!!
 
Hivi usajil ulio kua unafanywa manu ,chelsea,mancity utalinganisha na usajil uliokua unafanywa liver na unajua kwann???tuanzie hapa maana mpira unaupenda lkn hutak kuufatilia???


Mkuu liverpool ilikua haisajil kitu kama alivyo kua arsenal now tumesajil jipangeni sasa
 
Tuna game nyingi sana. Henderson will get injured. Atacheza sana mbona

Kwa hiyo unataka kusema kwamba Fabinho ni backup ya Henderson?

Make Henderson mwenyewe ni backup player kwa sasa, ningetamani Fabinho aanze kuingia sub badala ya kuingia Henderson angalau hata game kama ya leo.

Tunasubirishwa sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…