Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Waingereza wanawivu sana endelea kuwaamini, tengenezeni timu za kushindana Ulaya achaneni na tambo za maneno, Qatar iliwabwaga Wainglish ndo maana midomo inabwabwajaFootball is the most dirtiest sport in the world.
FIFA is the most corrupt organization in the world, (rejea countless of their corruption scandals over the years)
ishu ya QATAR kuhost world cup 2022 imegubikwa na corruption.
Flo Perez (The Don), Madrid president and his close friend Bartomeu (Barca president) ndiyo wanarun spanish footie, and Perez ana big say UEFA. (many people hawajui kuwa hawa watu wawili ni close buddies). these dudes are mafias, wanafanya kazi kwa ukaribu sana na rich agents, kama Mendes. Raiola, Kia etc (these dudes pia wanarun mpira wa ulaya kupitia their agency companies). i mean huwa hatupendi sana kuongelea kiundani mambo ya Transfers saga, but there is a reason why LFC decided to let Coutinho go in january, there is a reason why LFC didnt report Barca for tapping up Coutinho (Coutinho agent ni Kia, so do the maths). juzi juzi hapa Kia alimuoffer bwana ndogo pedrinho LFC, na tukakataa, simply because Kia ndiyo alikuwa agent wake. LFC ilishakataa kufanya kazi na Mendes, Raiola na Kia, thats why football experts wengi walishitushwa na deal ya Fabinho kwasababu his agent ni Mendes,
BDO is more about marketable players, kama Cr7 angefika QFs za WC wangempa BDO, but kwakuwa alifail they had to look for more marketable player whos profile is so easy to sale, hence ikaja ishu ya Modric, so it wont be so tough kuaminisha watu kuwa jamaa anastahili BDO kwa kutumia his CL campaign na WC, and after two years they will start to mould another competitors, kwa kuanza na Mbappe ambaye so soon anaweza akawa Madrid player. na Flo Perez anaposign player aina ya Mbappe his big promise ni kumfanya ashinde BDO, Perez plans failed kwa Bale kwasababu ya majeruhi ya Mara kwa mara. PSG promised Neymar BDO and he fell for that na sasa anataka kuforce move ya madrid, and Perez anaonesha anamuhitaji zaidi Mbappe.
everything huwa ni planned kwenye footie,
cant start about the English FA.
My combined XI ya Liverpool na Chelsea wachezaji pekee wa Liver watakaoingia ni VVD (in place of Luiz) na Firmino kama striker.
Wengine wote I will stick na our current squad.
Would you care man to explain why then we signed Fabinho from agent Mendes while we dont deal with such calibre agents
Waingereza wanawivu sana endelea kuwaamini, tengenezeni timu za kushindana Ulaya achaneni na tambo za maneno, Qatar iliwabwaga Wainglish ndo maana midomo inabwabwaja
hahahahaha Mentor at his very best..
hahahaha man!!
just let him be.... nmecheka sana[emoji23][emoji23]
Time will tell.Lol Mentor bhana..
naweza nikakubaliana na hayo yote mengine because ni debatable.
but Kepa over Allison? and Willian over Salah?
please have some shame..
Australia ni waingereza walewale kama unafahamu historia, unatakiwa uwafamu wazungu wanatabia na kushiriakiana kushughulikia jambo,Kati ya nations zote zilizoomba rights za kuhost WC 2022, ni Marekani ndiyo walikuwa favourite.
so kama ungeniambia kuwa "wamarekani wana wivu sana", ningeweza kuamini uelewa wako kwenye bids za WC 2022.
ukiwa na muda kapitie this book; "Whatever It Takes: The Inside Story of The FIFA way" kimeandikwa na Bonita Mersiades (kama mfuatiliaji mzuri wa masuala ya mpira utakuwa unamjua.)
Btw, Bonita ni raia wa Australia na siyo "Muingereza mwenye wivu"
what is your Combined XI kati ya team ya msimu wa 2008/09 na hii ya msimu wa 2018/19? (miaka kumi ishapita tayari)
First XI ya 2008/09 ilikuwa ni; Reina, Arbeloa, Carra, Agger, Aurelio, Mascherano, Alonso, Gerrard, Kuyt, Benayoun, Torres.
First XI ya 2018/19 ni; Allison, Trent, VVD, Gomez, Robertson, Fabinho, Milner (Gini?), Keita, Salah, Mane, Firmino.
My combined XI ni; Reina, Arbeloa, VVD, Agger, Robertson, Mascherano, Alonso, Gerrard, Salah, Mane, Torres
NOTE: it was a tough decison kumuondoa Kuyt. but imagine SG, Salah and Mane behind Torres, pia ni vigumu sana kumuweka Firmino mbele ya El nino wa 2008/09 (he was the best ST in the world ule msimu)
and i had to put Robertson over Aurelio man (Aurelio ni one of my top 10 favorite LFC player but Robertson had to be there), i hope nikifanya tena combined XI baina ya hizi teams mbile next season, Trent atakuwepo badala ya Arbeloa.
Allison bado hajatengeneza his profile at LFC, (4 games mpaka sasa), i hope next season nitakuwa na sababu ya msingi ya kumuondoa Pepe Reina (man i miss Reina, shame he got ruined by Gk coaches mapema sana)
Still think ile team ya 2008/09 ndo ilikuwa the best team in EPL to never win the league. ilikuwa so complete.
Australia ni waingereza walewale kama unafahamu historia, unatakiwa uwafamu wazungu wanatabia na kushiriakiana kushughulikia jambo,
Kuna siasa za mpira kijana, achana na hao watu, wakitaka kubadili mtu au mfumo lazima wataleta ishu nyingi sana. Akili za kusoma changanya na zakothe notion here ni kuwa Australia as a nation tried to bid kuhost WC 2022 and failed, and USA were the most favorites kushinda hiyo bid, but siku chache kabla ya mshindi wa Bid kutangazwa, Sepp Blatter alimpigia simu Obama kumwambia kuwa USA wont host WC 2022 and Qatar will win kwenye hiyo race.
huyo Bibie Bonita, alikuwepo kwenye committee ya Australia iliyokuwa inaongoza mazungumzo ya kuomba kuhost WC 2022, and kwasasa amekuwa whistle-blower baada ya kushuhudia uchafu wote wa FIFA kwenye mchakato wa kumpata host.
na nimekupa jina kabisa la kitabu ukasome vizuri ili uelewe mizizi ya tatizo, huyo mwanamama anajua mchakato mzima kwasababu alishiriki kikamilifu akiiwakilisha nchi yake Australia, and i'd rather believe her kuliko Sepp and FIFA puppets.
na pia ame-discuss fouls zilizopelekea Russia kuwa Host wa WC ya mwaka huu.
CIA ndiyo walioplay part kubwa sana ya kumuangusha Sepp kwa ku-leak scandals zake za corruptions bila kusahau ile scandal yake na Platin ambayo inawapelekesha mpaka sasa.
Game nne za Allison amejifanya Manuel Neuer look what he got on his fourth game.
Kuna siku nilicomment (third game) wewe wewe ukanijibu kuwa nisiwe na wasiwasi...game iliyofuata..
And there is more mistakes to come. Allison is too cocky. Sidhani kama atajifunza.
Kuna siasa za mpira kijana, achana na hao watu, wakitaka kubadili mtu au mfumo lazima wataleta ishu nyingi sana. Akili za kusoma changanya na zako
Wewe umeamini sana hicho kitabu, je kama alitumwa akiandike na hao CIA? Je kama ni wakala wao? Na je ilikuwaje Ulaya wakashindwa kuyaona na kuandika ambako ndo mpira unapochezwa wa ushindani zaidisiyo tu siasa za mpira, but siasa kwa ujumla ndiyo zinazofanya Dunia kuwa the most interesting place to live.
"akili za kusoma changanya na zako", intellegent people adhere to this notion kuendena na yale anayoyajua kwa kina kwenye alichokisoma, na kama atakuwa na uwezo usio na shaka wa kuhoji maswali shikivu kutokana na kile alichokisoma.
Wewe umeamini sana hicho kitabu, je kama alitumwa akiandike na hao CIA? Je kama ni wakala wao? Na je ilikuwaje Ulaya wakashindwa kuyaona na kuandika ambako ndo mpira unapochezwa wa ushindani zaidi
Simple!Swali Linakuja Kwanini Tulimsajilo Ox Chamberlain na Wala Hakufeli Vipimo Wakati OX ana Record Mbaya Zaidi Ya Injury alipokuwa Arsenal Kuliko Hata Huyu Fekir?
Ni Wazi Kuwa OX from the Beginning ilijuilikana Wazi Kuwa Hatoiweza GGP ya Klopp lakini still Tumesucrify more than £35m+.
Fitna za wakubwa (US/UK) ukizingatia mkubwa mwenzao (Russia) alipewa na wao wakashindwa na Mwarabu.Football is the most dirtiest sport in the world.
FIFA is the most corrupt organization in the world, (rejea countless of their corruption scandals over the years)
ishu ya QATAR kuhost world cup 2022 imegubikwa na corruption.
Flo Perez (The Don), Madrid president and his close friend Bartomeu (Barca president) ndiyo wanarun spanish footie, and Perez ana big say UEFA. (many people hawajui kuwa hawa watu wawili ni close buddies). these dudes are mafias, wanafanya kazi kwa ukaribu sana na rich agents, kama Mendes. Raiola, Kia etc (these dudes pia wanarun mpira wa ulaya kupitia their agency companies). i mean huwa hatupendi sana kuongelea kiundani mambo ya Transfers saga, but there is a reason why LFC decided to let Coutinho go in january, there is a reason why LFC didnt report Barca for tapping up Coutinho (Coutinho agent ni Kia, so do the maths). juzi juzi hapa Kia alimuoffer bwana ndogo pedrinho LFC, na tukakataa, simply because Kia ndiyo alikuwa agent wake. LFC ilishakataa kufanya kazi na Mendes, Raiola na Kia, thats why football experts wengi walishitushwa na deal ya Fabinho kwasababu his agent ni Mendes,
BDO is more about marketable players, kama Cr7 angefika QFs za WC wangempa BDO, but kwakuwa alifail they had to look for more marketable player whos profile is so easy to sale, hence ikaja ishu ya Modric, so it wont be so tough kuaminisha watu kuwa jamaa anastahili BDO kwa kutumia his CL campaign na WC, and after two years they will start to mould another competitors, kwa kuanza na Mbappe ambaye so soon anaweza akawa Madrid player. na Flo Perez anaposign player aina ya Mbappe his big promise ni kumfanya ashinde BDO, Perez plans failed kwa Bale kwasababu ya majeruhi ya Mara kwa mara. PSG promised Neymar BDO and he fell for that na sasa anataka kuforce move ya madrid, and Perez anaonesha anamuhitaji zaidi Mbappe.
everything huwa ni planned kwenye footie,
cant start about the English FA.
Kacheze wewe timu ya taifa badala yake..Hizi Mechi Za Kiajabu ajabu Za Kimataifa Zinanikera Kweli Manake Hazimuachi Mtu Salama.
Hata Sikupenda Leo Gomez aanze Kikosi Cha Kwanza England.. Bora Wangeanza Hao hao Kina Walker ili Mchezaji Wetu Abaki Salama Na injury Kwani Tunamuhitaji Zaidi Ndani Ya Liverpool Kuliko Anavyohitajiwa Timu Ya Taifa.