sasa hivi wewe hata mechi unaziangaliaga kweli wewe,kwahiyo PIERRE EMERICK AUBAMEYANG,ERRICKSEN,DELLE ALLI,HARRY KANE,WILLIAN N.K wapo chini ya huyo MARTIAL?
si bure una lako jambo mkuu
Hii Jana Kusimama Kwa Kutangazwa Fekir ingawa Alifanya Vipimo Vya Afya na Kufanya interview na Liverpool imekuja na Sababu Mbili ambazo Wadadisi Wanasema Moja Ya Sababu Hizi ndiyo iliyostopisha Kuendelea Na Mchakato.
1.) Mkuu Mimi si Mtaalamu Wa Maswala Ya Kiuchumi Kwasababu Sikusomea Fani Hiyo! Lakini OL Msimu Wa 2017/18 Wa ligi Yao unamalizika Leo! Na unaanza Rasmi 1st July.
Kwahiyo angelitangazwa Jana Basi Hela ingeliingia Kwenye Account ya Hesabu ya Last Season ambayo Kuna Na Hela Ya Lacazzete Jambo ambalo Kwa Wataalamu Wa Uchumi Ndiyo Wanaofahamu ingeathirika Vipi Timu pamoja na Share holders.
Lakini iwapo atatangazwa Leo au After World Cup (1st July) basi Hela itaingia Katika Account ya Hesabu za Next Season jambo ambalo Ni Faida Kwa OL.
2.) Kuna Wanaosema Kuwa Mchakato umesimama Kutokana na Fekir Kufeli Vipimo Vya Afya baada Ya Kugundulika Ana Serious Problem Katika Goti lake.
Sababu Zote Hizo Hakuna Hata Moja iliyokuwa Confirmed.
Martial utamuweka rank sawa na nani ukiachana na Hazard kwenye Vilabu ifuatavyo: Arsenal, Chelsea, Tottenham ???
kwani AUBA anatokeaga angani?na kumfananisha na huyo martial ni matusi makubwa.......auba mfananishe na MO myama sio hizo takataka za kifaransaNimesemea wachezaji wanaotokea pembeni au wingers
Player Comparison
close
Add a player
You can add the same player twice to compare his stats from different seasons
- Filter
- Search
1Result
Anthony Martial
- + Pierre-Emerick Aubameyang FWD
FWD
Show season range
Season
2017/18
Pierre-Emerick Aubameyang
FWD
Show season range
Season
2017/18
- Overview
Appearances
30
Goals
9
Assists
5
Clean sheets
1
Saves
0
Yellow cards
1
Red cards
0
13
10
4
3
0
0
0- Attacking
Goals
9
Goals per match
0.30
Minutes per goal
176
Shots
49
Shots on target
16
Shots off target
15
Shooting accuracy %
51.61
Shooting success %
18.37
Penalties scored
1
Penalties saved
0
Penalties missed
0
Penalties won
0
Freekicks scored
0
Goals with right foot
7
Goals with left foot
1
Headed goals
1
Goals from inside box
6
Goals from outside box
3
Hit woodwork
0
Big chances scored
3
Big chances missed
5
10
0.77
106
31
19
5
79.17
32.26
1
0
0
0
0
7
3
0
10
0
0
8
6
kwani AUBA anatokeaga angani?na kumfananisha na huyo martial ni matusi makubwa.......auba mfananishe na MO myama sio hizo takataka za kifaransa
...hili jukwaa la Anfield, huu ujinga unatokea wapi ?! Mbona mnatupostia vinyago vya mpapuree !? Mazaafanta !Player Comparison
close
Add a player
You can add the same player twice to compare his stats from different seasons
- Filter
- Search
1Result
Anthony Martial
- + Pierre-Emerick Aubameyang FWD
FWD
Show season range
Season
2017/18
Pierre-Emerick Aubameyang
FWD
Show season range
Season
2017/18
- Overview
Appearances
30
Goals
9
Assists
5
Clean sheets
1
Saves
0
Yellow cards
1
Red cards
0
13
10
4
3
0
0
0- Attacking
Goals
9
Goals per match
0.30
Minutes per goal
176
Shots
49
Shots on target
16
Shots off target
15
Shooting accuracy %
51.61
Shooting success %
18.37
Penalties scored
1
Penalties saved
0
Penalties missed
0
Penalties won
0
Freekicks scored
0
Goals with right foot
7
Goals with left foot
1
Headed goals
1
Goals from inside box
6
Goals from outside box
3
Hit woodwork
0
Big chances scored
3
Big chances missed
5
10
0.77
106
31
19
5
79.17
32.26
1
0
0
0
0
7
3
0
10
0
0
8
6
kwani AUBA anatokeaga angani?na kumfananisha na huyo martial ni matusi makubwa.......auba mfananishe na MO myama sio hizo takataka za kifaransa
na hauwezi kuwa kocha kwa fikra hizo mkuu wangu yaani umshindanishe AUBA na MARTIAL........dahhhhh umerogwa wewe si bure!!!!hiyo nilikosea kupaste subiri nijaribu tena kukuwekea ahahahahahahahahhhahahahahahahahaBinafsi uwezo wa wachezaji(wingers) huwa ninaconclude kwenye dribling kingine labda passing accuracy na uwezo kwenye kupiga mashuti. Lete tena stats kwenye vitu hivyo, halafu nashangaa umemleta mmoja tu (AUBA).
Lau Wangekuwa same age AUBA na Martial halafu mi ndio kocha ukisema nichague kati ya hao, I will go for Martial
jiheshimu basi we kiazi hizo ni element za kibwabwa sasa kinachokupanikisha hapo nini.....jukwaa la kwako hili ?au hujui sheria za JF? nenda kazisome then urudi sio unaropokaropoka tu bumbaaaaaaaaaaav...hili jukwaa la Anfield, huu ujinga unatokea wapi ?! Mbona mnatupostia vinyago vya mpapuree !? Mazaafanta !
Hii deal Ina asilimia flani ya ku-fail kwa sababu hiyo ya kijingaLOL
Its confirmed.
we're trying to lower the asking price.
i've never recovered from that Gerrard Slip, if we dont get Fekir deal over the line, man i dont know if naweza kurecover from this L.
Hii deal Ina asilimia flani ya ku-fail kwa sababu hiyo ya kijinga
The main reason ya deal kusimama ni kwasababu LFC are trying to renegotiate the financial structures (Fees, add-ons, wages and bonuses), and mpaka muda huu Fekir's camp hawana mpango wa ku-budge in.
and cant even think about AULAS fgs.
Liverpool football Club trying everything to **** up the Fekir deal.
This useless club man.
Just when you thought things were going so good for the club, na sasa deal ya Fekir inakaribia kuharibika kwasababu tu Club inataka kure-negotiatiate fee baada ya deficit iliyotokea kwenye medical. i mean we have been tracing Fekir for ages, na tulikuwa tunajua kabisa alishawahi kuwa na ACL issues, surely hatukuwa dumb enough kujua kuwa ACL can leave some deficits kwenye knee? and we have Jordan Henderson whos been playing with a back heel injury since 2015, so why would you want to **** up a deal kwa ishu ambayo inajulikana?
Aulas wanted 6OM, then akashushwa mpaka kwenye 48M (4m add-ons), now unataka umshushe zaidi ya hapo kwasababu ya knee problem? AULAS???
ukiachana na Aulas, pia wanataka kunegotiate upya personal terms na Fekir, really? this man is highly wanted by Bayern and ATM. and on top of that Lallana is on 130k per week na sijui kama amefikisha hata games 10 this season sababu ya injuries, but tunajiuliza mara mbili kwa mtu ambaye alikuwa na injury kubwa moja tu na kacheza games zaidi ya 40 last season, and now yupo fit kwaajili ya World Cup.
this is why makombe tunaendelea kuyaona kwa clubs zingine, do you think Chelsea or United wangejali hii kitu? ndo maana wanashinda makombe, chelsea signed an injured Torres, signed Remy who had failed his medical at LFC, but mpaka sasa sijasikia tatizo lolote kwa Remy and he ended up winning a trophy at Chelsea, but let us not sign Fekir because fee na mshahara wake ni mkubwa sana kutokana na knee problem yake, whilst at the same time Lovren receives 100k per week.
For the first time since 2009, we have got a WORLD CLASS MANAGER, with a huge pulling power in European football ambaye players wanapenda kucheza kwenye project yake, but tunafind namna ya kuharibu good deals. and its safe to say FSG are on course of disappointing Klopp for the 33555667 time.
and y'all know Klopp, kama alishamweka Fekir kwenye plans zake za next season na akamkosa, he will give himself sometime again kutafuta mbadala wake. he wont buy for the sake of it. he'll wait kama alivyofanya kwa VVD and other players.
this fekir deal is so important kwaajili ya future ya Club, World class talents kama hizi huwa zinafikiria mara moja tu, kwasababu ana offers za Clubs nyingi sana.
and baadae tunaweza tukapata confirmation kuwa either the deal is DONE or DEAD.
haya yanakuja kujirudia kwa fekiKuna tatizo mahali ama Club staff au wamiliki; katika vitu vya ajabu nayokumbuka nikiona tukio hili ni pale liverpool ilipompa mshahara wa pauni laki moja na thelathini kwa wiki Mario Balotelli halafu msimu mzima licha ya kuwa namba tisa akaishia kufunga goli moja na tena la penati !
Hili jukwaa la Liverpool, hao mabasha zenu kawatangazeni huko kwenu. Wasengerema mwili mzima nyie !jiheshimu basi we kiazi hizo ni element za kibwabwa sasa kinachokupanikisha hapo nini.....jukwaa la kwako hili ?au hujui sheria za JF? nenda kazisome then urudi sio unaropokaropoka tu bumbaaaaaaaaaaav
Kwan Willian anatokea katikati ya uwanja??Nimesemea wachezaji wanaotokea pembeni au wingers
We jamaa unaumwa nn....unapoona mchezaji wa timu nyingine anahusishwa jua fika kuwa kuna sababu iliyopelekea yy kuhusishwa...kwan wenyewe hawafahamu kuwa hili ni jukwaa la liverpool....tunajua una mahaba na timu yako ila wape nafasi na wengine..Hili jukwaa la Liverpool, hao mabasha zenu kawatangazeni huko kwenu. Wasengerema mwili mzima nyie !