Hii game Madrid anakufa, tena anaweza kupigwa nyingi asiaminihii ni fainali ngumu...watu wanaipa nafasi kubwa Madrid ila mi naona kila timu inajiweza...na Madrid wasipoangalia wanaweza wasiamini mpaka kufa kwao...
Mi nachachawa na wazee, naomba ulete umri wa viungo wako na hao unaowaita wazee, afu tuone nani anachachawa kati yangu na wewe.Hata 2005 ilikuwa:
ALONSO
GERRARD
KEWELL/HAMMAN
VS
KAKA
PIRLO
GATTUSO
SEEDORF
Na tukabeba Ndoo! Leo Unachachawa Na Wazee Kina Modric na Kroos?
Wewe Huujui Mpira Hata Kuelekeza!
Kesho tunamchapa Madrid
Wala sina wasi wasi kwa hili
Tunachukua kombe la maana toka 2005
We are Liverpool!
John Barnes: “A lot of people feel the game will be won by the attack,” he says. “But I think it will be won by the defence. Both teams can attack and score goals, but whoever defends best will win.”
Jamaa una rekodi mbaya sana humu ya kutabiri, unaipa gundu timu yako.Kesho tunamchapa Madrid
Wala sina wasi wasi kwa hili
Tunachukua kombe la maana toka 2005
We are Liverpool!
Mkuu inaonesha unajiamini Kwa Asilimia 100%?
Mimi Mwenzio BP haisomeki Kabisa.
Mimi mpaka na tetemeka kabisaMkuu inaonesha unajiamini Kwa Asilimia 100%?
Mimi Mwenzio BP haisomeki Kabisa.
Goli 3 za uhakika kabisa tunawafunga hutaamini, huenda mpaka goli za ziada, na wao wataambulia goli 1 tu, zikizidi ni 2, narudi Dar sasa natoka Lushoto [emoji13]Mkuu inaonesha unajiamini Kwa Asilimia 100%?
Mimi Mwenzio BP haisomeki Kabisa.