Nahofia yasitokee yaliyoitokea Barca. Tatu bila, we are done... just like that!
Fainali wanaweza kufika kabisa ila kubeba ndoo hawatabeba.Tulipopangiwa na man city mlisema tushatolewa na tulipo wapiga 3-0 mkadai watapindua matokeo kwao badala yake wakala 2-1 Leo tumeshinda 5-2 bado mnasema tushatolewa acheni unafik Liverpool msimu huu iko vizur na iona ikifika final na pengine kubeba ndoo
Kwangu mimi ilikuwa rahisi kwetu kukutana na Barca kuliko Man City. Na tukawatoa the said impossibles. Nahofia haya mataliano maadam yatakuwa yanacheza pata potea... yakitupiga mbili za haraka... kisaikolojia yatakuwa yameshatubaselona...lolPamoja na kwamba hatutakiwi kudharau lakini kwangu sikuwahi kufikiri kama Barca ni timu tishio kwa Liver.
Eti unaitwA papuchi hahahahaKocha wenu ni mpuuzi period..
Na hili liwe neno la Mungu.Mkuu hilo hata klopp analijua atakuwa makini tu,ila mpaka sasa Liverpool anastaili kuwa bingwa hakuna mechi aliyofungwa
Mechi ambayo hatuja funga ni na porto tu.
Ila kwa game nilivyoiona leo, tunawatoa hao,wakijifanya kushambulia mechi ijayo nadhani watasimulia kitakachowapata safu ya ushambuliaji ya Liverpool mpaka sasa ina goli 38.
Sawa mkuu ingekuw rahisi ivo mi nazani wakututoa alikuwa city kwa upande wangu ndo nilie kuwa namuogopa sana kwa ushambuliaji wakeBarca ilikuwaje mkuu??? Hii mijamaa ikiwa kwao usii-underestimate kabisa.
Liver tukitinga fainali... we are the champions... I have a dream.Fainali wanaweza kufika kabisa ila kubeba ndoo hawatabeba.
Kwann mkuu toa sababu timu ifike final bado una I underestimate mkuu final yeyote anaweza chukua acha unafiki nyie ndio mliotutabiria mabaya toka round of 16 lakin maajabu tunashinda tu tena kwa magoli mengi kushinda timu yeyoteFainali wanaweza kufika kabisa ila kubeba ndoo hawatabeba.
Jibu sahihi ni kwamba Liverpool hawataenda kurelax kama ambavyo wangeendelea kumiliki goli 5 za nyumbani so kwa haya matokeo ya 5:1 yanawafanya wakacheze kwa kujihami na kushambulia zaidi.amini nakuambia hata Roma kuridisha hizo 2 hawaamini kabisa.Naomba ufafanuzi kidogo mkuu how is it disadvantage kwa Roma??
Kwangu mimi ilikuwa rahisi kwetu kukutana na Barca kuliko Man City. Na tukawatoa the said impossibles. Nahofia haya mataliano maadam yatakuwa yanacheza pata potea... yakitupiga mbili za haraka... kisaikolojia yatakuwa yameshatubaselona...lol
Kusema "Acha unafiki" ni lugha mbaya si lugha ya ushabiki wa kistaarabuKwann mkuu toa sababu timu ifike final bado una I underestimate mkuu final yeyote anaweza chukua acha unafiki nyie ndio mliotutabiria mabaya toka round of 16 lakin maajabu tunashinda tu tena kwa magoli mengi kushinda timu yeyote
kama tutacheza kwa intensity kama ya leo, Roma tunaweza kum-Porto kwenye dimba lake mwenyewe!Roma anafungika kwao kirahisi halafu atapanic atafungwa nyingi zaid kwao
Babu, kikosi cha aidha Bayern munich ama Real Madrid ni hatari sana....ni ngumu kuamini kuwa mtachukua kombe mbele yao.Liver tukitinga fainali... we are the champions... I have a dream.
Hakuna mwenye guarantee ya kombe hata siku moja..ni gane ya dakika 90......hata angepita Roma na madrid fainali lolote linaweza kutokeaaa......Tusubirie tuuFainali wanaweza kufika kabisa ila kubeba ndoo hawatabeba.
Binadamu hutawaweza mkuu wengine ni ile hali ya roho mbaya tu ndo inawasukuma yote hayoninachofurahi ni, tulianza na sare mbili group stage, mkasema hatuvuki, mara tupo rouund 16 mkasema group laini na fc porto hatumtoi, mara paap round 8 mkasema porto hajui, Man city ndo katutoa hivyo, haya majibu mnayajua wenyewe, mara ikawa mancity sio level ya madrid na bayern, anyway tukapewa roma aliyemtoa barca, kala tano mmeanza sijui second leg hatuchomoi, nawaambia TUKUTANE KYIEV 16/05/18
Mkuu kwanza sorry kwa kukuita mnafiki Ila Huyo Madrid unayemsema hata game1 ya semi final hajacheza na ushampa ushindi hii kisoka haijakaa sawa na kesho sio mbali mkuu sababu mm na wewe bado hatujui matokeo kwan mpira bado haujachezwaKusema "Acha unafiki" ni lugha mbaya si lugha ya ushabiki wa kistaarabu
Pia sijawahi kuiunderestimate liverpool tangu niifahamu kwa miaka mingi kwasababu ni hatari kwa mashambulizi yasiyokoma
Nilichomaanisha ni kwamba Liverpool inaweza kwenda kukutana na timu iliyo na wachezaji bora zaidi yaani Real Madrid.
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app