Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nao wanasema hivyo hivyo, HAWAWADHARAU. Kati ya Buyern, Real na Liver, hapa hata Yanga wangechagua Liver.


Acha ujinga.
Nyie mngeweza kuwatoa Barca!!
Roma sio level yenu wale.
Na BAHATI mbaya zaidi wanaanzia ugenini.. Hehehehe...
 
tumepata Roma kwenye semis lakini tusiwadharau.

Good Omen?

Liverpool and Roma is a repeat of the 1984 European Cup final, won by the English club on penalties after a 1-1 draw at Roma’s Stadio Olimpico home.
 
Team Jogoo
Tukutane Fainali..

Bayern pole yao na kumbukumbu anazo mpiga picha.
 
Umeeleweka vizuri sana mtanange mkali kati ya Roma na liver mshindi ndo atanyanyua kwapa
Liver hana ubavu wa kuifunga Real, huu ndio ukweli, labda idondokee tu bahati siku hiyo. Hata The Kops mnajua hili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…