Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Liverpool XI: Karius, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Robertson, Milner, Wijnaldum, Oxlade-Chamberlain, Mane, Salah, Firmino.
Walker, Laporte, Otamendi
true....defence yao nyanya hii.Midfield area Kidogo inaonesha Kujishika Kwa leo Coz Milner Atakuwa Ni Kama Kiongozi Katika Sehemu Ya Kiunga ingawa itakuwa Ni Kazi moja Kubwa Sana Kwani Man City Watakuwa na Watu Wenye Uwezo Kama KDB, Silver, Fernandinho, Sterling, Sane na Bernardo Silver.
Safu ya Ushambuliaji imekamilika.
Hapa Katika Defence Man City Haiko Powa Sana na inafungika iwapo Hatutokubali Kuwa underdogs.
true....defence yao nyanya hii.
tukiwapiga pressure kali ndani ya dk 20 za mwanzo, tunaweza kuwapiga hata 2 ndani ya muda huo maana mawazo yao yapo kurudisha zile 3.
Pamoja sana KiongoziSalama kabisa mkuu Mimi Niko poa kabisa
Ingawa Liverpool wanachezewa nusu UWANJA na GOLI la Mapema walilowahiwa.Salama kabisa mkuu Mimi Niko poa kabisa
bado tunao Mkuu kazi na maelekezo ya Klop yamefuatwa to the letter....tusubiri kipindi cha pili tuone kocha atakuja na mbinu zipiLeo nawashangilia mshinde. Kifo cha Man city ni furaha ya wengi. Come on Liverpool, tafuteni japo goli 1 before HT
Dakika Kumi (10) za mwisho Liverpool wamebadilisha mchezo, na kuanza kushambulia.Leo nawashangilia mshinde. Kifo cha Man city ni furaha ya wengi. Come on Liverpool, tafuteni japo goli 1 before HT