Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Porto ni mama tatizo lako unataka majina makubwa sio mpira
Porto kampiga Monaco 5 unasema mama
Just because kafungwa na Liverpool unajisahaulisha man city nae kafa anfield ,alishinda game ya kwanza we mwenyewe unajua kadi nyekundu ndo iliharibu mechi maana angekaa vilevile.
City ujanja wake wote sio kwa Liverpool
 
Wote wanaoleta pang'ang'a acha walete tu, siku tunamla uroda huyo man shit ndio watakuwa watazamaji na hawataongea lolote.

Huyo huyo mume wenu man shit sisi Liverpool ndio team pekee yenye uwezo wa kutunishiana nae msuli pale England, wengine wote anawafanyaga bibi zake
 
Mmh kivipi sijamuelewa kabisa ilikuwa ndoto yao kivipi akimaanisha kwamba wamefurahi kukutana kwa timu za Uingereza???


Mkuu unajuwa Mambo Yapo hivi:

• Tarehe 04/04/2018 Ni Liverpool v/s Man City (1st leg [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG])

• Tarehe 07/04/2018 Ni Man City v/s Man United ([HASHTAG]#EPL[/HASHTAG])

• Tarehe 10/04/2018 Ni Man City v/s Liverpool (2nd leg [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG])

Sasa hapo Katika Kuwania Top 4 itakuwa Ni Advantage Kwa Man United Kushinda Game dhidi Ya Man City Kwani Man United Kuwa Katikati ya Michezo hiyo Miwili Ni Lazima Man City Kwenye Game na Man United atapumzisha Key players Kama Vile De Bruyne, Sane, Silver, Aguero (If fit) Kwa Kuwaandaa Kwenye Mechi na Liverpool.

Hilo Ndiyo alilolikusudia Klopp.
 


Na Jengine Ni Kuwa Umesahau Kwamba Man City Naye Tokea Makundi Mpaka 16 bora naye Pia Amekutana na Hizo Unzoziita Timu Mama Mama.
Sasa Subiri Kwa Mara Ya Kwanza Aanze Kuonja Mazito Kutoka Kwa Liverpool.

Labda Nikuache na Kamsemo huu:

"Form ([HASHTAG]#ManCity[/HASHTAG]) is Temporary But Class ([HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG]) is Permanent "
 
Hata tukizungumzia hiyo game ya mwisho mashabiki duniani kote Wa Liverpool waliamini wameshinda hadi refa alipopuliza kipenga team mmemuacha difference ya goal 4 Ila comeback ilikuwa inawezekana zilibaki Kama sekunde tatu yangekuwa mengine. Sasa nakushangaa unakuja kutamba kwa ile game labda uliangalia matokeo livescore ukaona ni ushindi basi ukajua uwanjani mambo yalikuwa mepesi kiasi hicho.


Team hahiwezi kulinda goal lake team mbovu ambayo kwa England mtu yeyote anaweza kuwapiga comeback muda wowote.

Tatizo mkuu hutaki kukubali kuwa Liverpool kwenye safu ya ulinzi ni Kama pazia.
 
Porto ya kipindi kile uwezi kusema ni Porto ya kipindi hiki.
 

Katika tarehe za game naona umeruka derby yetu na Everton 7/4
 
Liver vs Man City, very unfair. Both had potential to be in Semis
kabisa kabisa.

I don't like the sound of this draw at all. kwenye EPL the aggregte score is 8-4 in City's favour - so that should be the barometer towards this tie.

to beat Guardiola over 2 legs Klopp needs to (he actually MUST) adjust our approach - of course bila kuharibu attack-minded philosophy yetu.
 
Mmh kivipi sijamuelewa kabisa ilikuwa ndoto yao kivipi akimaanisha kwamba wamefurahi kukutana kwa timu za Uingereza???
No. Yani walikua wanatamani sana draw inafanyika na wao wakiwepo yani was their dreams kua kwenye draw
 
Klopp atampiga Guardiola...believe me.
 
kwa mahesabu ya hawa watu ni lazima mwenyezi Mungu awe upande wenu ili kushinda hili kombe ,nina uhakika kwa vyovyote vile man city na liverpool zisingekutanishwa pamoja zote zingefika semi final

kalou hebu niweke sawa hapa,hii draw huwa inapangwa au ni bahati tu ya nani kupangiwa nani?
 
kalou hebu niweke sawa hapa,hii draw huwa inapangwa au ni bahati tu ya nani kupangiwa nani?

Ni kama bahati tu
Maana vimipira vinazungushwa kila mtu anaona lakini vinakuwa ndani ya bakuli la glasi
Mtu anakuwa anachanganya hiyo mipira anachukua mmoja wakwanza kutoka ndio anakuwa nyumbani

Lakini mipira ni michache 8 tu kwa mtu kumpanga na kumark ile mpira ni rahisi kama wao kweli wamepanga wanaweza maana hawatashindwa ,mipira ya Liverpool na man city ilikuwa ya mwisho kabisa.
 
Mambo ya hot balls and cold balls, inakuwa bahati nasibu iliyopangwa

sorry lakini,mbona wengi wetu humu tunawalaumu uefa kuhusu timu 3 za spain kutokupangwa against each other kama 2 za england?
 
Klopp atampiga Guardiola...believe me.
sibishi....unaweza kuwa sahihi.

the only issue hapa ni kuwa mimi ni fan (siyo fanatic) wa LFC. unapokuwa fan you are expected to be objective and solution-oriented, not a hands-clapping moron on everything like all fanatics are!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…