Bola wewe umeliona japo dogo nae hakutakiwa kwenda kukaba kizembeNafikiri TAA anatolewa kafara. Lovren ameshindwa mara mbili kucheza mipira ya kichwa hali iliyosababisha Mpemba aonekane nyota na hatari mbele ya TAA.
Dhahiri ugonjwa wa mipira ya hewani unataka kurudi tena.
Hivi nyie majogoo mkitiliwa kitunguu swaumu au tangawizi ipi mnanoga zaidiii?Leo Liverpool imethibitishia Ulimwengu Kuwa inazifunga Timu Kubwa Na Kufungwa Vitimu Vidogo! Kwahiyo Leo tumefungwa Na Kitimu Kidogo cha Manure na Washabiki Wake Wamefurahi Kuifunga Timu Kubwa ya Liverpool.
Chambalin unamuonea tu mane ameongoza kwa kupoteza mipitalovren,chambrain na milner lwo walikuwa mizigo
Afe mtu afe mmasai hawa nyumbu wanakufa hapo hapo old trashfordView attachment 710245View attachment 710246
Leo man of the match kwa kila timu ,De gea upande wa Man utd na Mo Salah upande Liverpool,nazani kwa utabiri huu matokeo mtakuwa tayari mshayajua nani anafungwa.
mkuu ni kesho aisee dakika 90+ tutajua nani zaidi
Umeamini mkuu!mkuu ni kesho aisee dakika 90+ tutajua nani zaidi
Leo hawakupaki bus kama uliangalia vizuri, ilikuwa ni defence game ya kawaida. Kilichotucost ni wachezaji wetu kuunderperform. Milner aliongoza kwa wachezaji waliocheza hovyo leo, hana kiwango cha kupangwa mechi ya leo. TAA nae hivyo hivyo. Yapo mengi ningeongea lakini mi ni mvivu kutypeMkuu tatizo Mourinho anarudi na mbinu ya kuweka bus nyuma kwahyo mnahitaji zaidi ya mbinu
Jifunze kuchambua mpira!Liverpool itashinda tatu vs man u
Liverpool itashinda tatu vs man u
Umetumia kigezo gani?makombe?idadi ya mechi mlizoshinda?au ushabiki?Leo Liverpool imethibitishia Ulimwengu Kuwa inazifunga Timu Kubwa Na Kufungwa Vitimu Vidogo! Kwahiyo Leo tumefungwa Na Kitimu Kidogo cha Manure na Washabiki Wake Wamefurahi Kuifunga Timu Kubwa ya Liverpool.
Klopp amekosea sana tena sana kumtoa AOX alivyorudi vizuri kipindi cha pili, ningetegemea amtoe Milner na sio AOX.Tumecheza Vizuri...
Si Makosa ya Timu...
Si Makosa ya Kocha...
Ni Individual Mistakes za Trent Alexander-Arnold Ndiyo Zilizotufanya Tupoteze Mchezo...
Timu ina Consistency Nzuri tu...
Tujipange Kwa Next game...
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Mchezaji kama trent alexander arnold.hana uwezo huyo wa kucheza Liverpool yeye na mwenzake gomez ,wanapata namba kwa sababu clyne ayupo ,dawa nikuwapiga bench kabisa na kuwauza kabisa
Nikweli mkuu mambo madogo tu yamewaangusha tena kama kuruhusu zile gori mapema ndio ilikua sumu yenuLeo hawakupaki bus kama uliangalia vizuri, ilikuwa ni defence game ya kawaida. Kilichotucost ni wachezaji wetu kuunderperform. Milner aliongoza kwa wachezaji waliocheza hovyo leo, hana kiwango cha kupangwa mechi ya leo. TAA nae hivyo hivyo. Yapo mengi ningeongea lakini mi ni mvivu kutype
Klopp amekosea sana tena sana kumtoa AOX alivyorudi vizuri kipindi cha pili, ningetegemea amtoe Milner na sio AOX.
Milner hana kiwango cha kucheza mechi ya leo, angeanza tu gini.
Klopp p amezidiwa mbinu leo, Mourinho katika tactic iliyomuweka juu leo ni Kuua movement zoote za forward zooote tatu.
All in all, dogo Rashford ni mchezaji chipukizi mwenye kipaji na akili.
Ndo nashangaa kwa nini hajapangwa. Huyo dogo TAA simkubaligi wallahiMeci ya kwanza gomenzi alimkaba vizuri rashfod
Wanesema anjua kushambulia etNdo nashangaa kwa nini hajapangwa. Huyo dogo TAA simkubaligi wallahi
Anaetegemewa siku zote kupoteza mipira uwanjani ni Forward mkuu, Mane ni forward.Chambalin unamuonea tu mane ameongoza kwa kupoteza mipita
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hivi nyie majogoo mkitiliwa kitunguu swaumu au tangawizi ipi mnanoga zaidiii?
Ndiyo naenda sokoni kununua viungo