chief, tutaendelea kukupiga darasa hadi uelimike kuhusu what it takes to be a RED. utaelewa tu!Who cares?
Kuna watu wana akili mbovu kweli kweli ktk jukwaa hili aisee!
Klopp is right man to lead Liverpool,wewe na wenzako hawa wachambuzi uchwara hamna point hata moja ya maana!
chief, tutaendelea kukupiga darasa hadi uelimike kuhusu what it takes to be a RED. utaelewa tu!
Klopp wetu....
msimu wake wa 3.
madirisha zaidi ya 4 usajili.
zero trophy.
VS
Conte = EPL first season
Maureen = 2 trophies first season
Pep = 2nd season (EPL in the bag)
oh, just before I forget... remember a certain Ranieri?
[HASHTAG]#silverwareisLFCdna[/HASHTAG]
hakuna asiyemheshimu Klopp. he's a cool coach - his pedigree is indisputable. that's why we all backed his recruitment.Hapo special ni Ranieri tu ambapo alicho kifanya hutokea kila baada ya miaka 30!
Conte aliitithi team gani?
Unaifananisha Conte’s team na Liverpool aliyo ikuta Klopp?
Mourihno kutumia Milion 300 anakupa Yuropa na FA ndiyo tunamjadili hapa?
Pep alipokuja kapata kombe gani?Pep aliikuta team mbaya kama Klopp?
Kocha gani unayemjua wewe angeipa Liverpool ile nafasi ya CL hata kuwashinda Man United na Arsenal?
Klopp apewe heshima yake!
Ni kama kumpigia mbuzi gitaa
chief, tutaendelea kukupiga darasa hadi uelimike kuhusu what it takes to be a RED. utaelewa tu!
Klopp wetu....
msimu wake wa 3.
madirisha zaidi ya 4 usajili.
zero trophy.
VS
Conte = EPL first season
Maureen = 2 trophies first season
Pep = 2nd season (EPL in the bag)
oh, just before I forget... remember a certain Ranieri?
[HASHTAG]#silverwareisLFCdna[/HASHTAG]
Upo Sahihi Mkuu ↑↑! Yule Mjinga [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] kumfahamisha Kitu Ni sawa na Kumpigia Mbuzi Gita.
↑↑ Mkuu Huyo Jamaa Mimi Nimeshajiridhisha Kuwa Ana Mental Disorder Kwahiyo Haelewi Hata Umfahamishe Kitu gani Na Ndiyo Mana Nikachukua Maamuzi Magumu Ya Kumueka Katika Ignored List yangu! Kwahiyo Sasahivi Hanisumbui tena Na Hizo Pumba zake.
Sasa adabu Yake tufanye Hivi! Sote tuliomo Katika Hii thread ambao Tuna Kiu ya Makombe na Tunajielewa, basi Tumueke Katika Ignored list Huyu Mpuuzi ili asiweze Kuona Chochote Katika Huu Uzi na sisi tusione tena Ujinga Wake anaoupost mpaka Ajishtukie Mwenyewe afahamu Kuwa Huu Ni Uzi Wa Watu Tunaojifahamu na Si wajinga Kama yeye.
[HASHTAG]#IgnoredListForMalafyale[/HASHTAG]
hakuna asiyemheshimu Klopp. he's a cool coach - his pedigree is indisputable. that's why we all backed his recruitment.
but it's LFC we're talking about here my friend. we need metals in our cabinet yesterday not tomorrow!
Klopp must be made aware that from Dortmund to LFC was a long shot and significant step up for him. he has to deliver quick or else!
[HASHTAG]#silverwareislfcdna[/HASHTAG]
Vijana acheni matusi muwe na heshima...
Upo Sahihi Mkuu ↑↑! Yule Mjinga [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] kumfahamisha Kitu Ni sawa na Kumpigia Mbuzi Gita.
↑↑ Mkuu Huyo Jamaa Mimi Nimeshajiridhisha Kuwa Ana Mental Disorder Kwahiyo Haelewi Hata Umfahamishe Kitu gani Na Ndiyo Mana Nikachukua Maamuzi Magumu Ya Kumueka Katika Ignored List yangu! Kwahiyo Sasahivi Hanisumbui tena Na Hizo Pumba zake.
Sasa adabu Yake tufanye Hivi! Sote tuliomo Katika Hii thread ambao Tuna Kiu ya Makombe na Tunajielewa, basi Tumueke Katika Ignored list Huyu Mpuuzi ili asiweze Kuona Chochote Katika Huu Uzi na sisi tusione tena Ujinga Wake anaoupost mpaka Ajishtukie Mwenyewe afahamu Kuwa Huu Ni Uzi Wa Watu Tunaojifahamu na Si wajinga Kama yeye.
[HASHTAG]#IgnoredListForMalafyale[/HASHTAG]
no worries MosDef , your sentiments represent those of the majority on this platform.
views from certain supporters border on nothing bar insanity!
wee dogo ndiyo maana wenzio wanakutukana ovyo. nilitaka kuanza ku sympathise na wewe lakini naona kuna tatizo kubwa kuliko ninavyofikiri.Upuuzi ungine huu!
Wala mijitu haijui Klopp alikaa muda gani BVB na akachukua makombe mangapi!
Mmeanza hata kukataa maandiko yenu ya kipuuzi kama mchezaji wa Liverpool yyt yule hawezi cheza Barca!
Liverpool ipo mikono sahihi lkn nyie mbilikimo wa uchambuzi wa soka mnao jua zaidi ya Klopp mnataka kutuaminisha ujinga wenu
usikimbie dogo.Don’t argue with these PTSDs creatures
Don’t argue with the fools!
Sitawajibu tena nyie ni wa kuwapuuza tu!
Let me enjoy very entertaining football from Klopp
We are Liverpool
Viva Klopp
Nafunga mjadala kuhusu hili genge uchwara
Siungi mkono hii hoja. Malafyale yupo hapa jukwaani kitambo kuliko wewe. Kumweka kwenye ingore list si kumzuia kutoa maoni yake. Mie naheshimu mawazo ya wote. Kama upendezwi na aina ya coments zake basi mpotezee tu.Upo Sahihi Mkuu ↑↑! Yule Mjinga [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] kumfahamisha Kitu Ni sawa na Kumpigia Mbuzi Gita.
↑↑ Mkuu Huyo Jamaa Mimi Nimeshajiridhisha Kuwa Ana Mental Disorder Kwahiyo Haelewi Hata Umfahamishe Kitu gani Na Ndiyo Mana Nikachukua Maamuzi Magumu Ya Kumueka Katika Ignored List yangu! Kwahiyo Sasahivi Hanisumbui tena Na Hizo Pumba zake.
Sasa adabu Yake tufanye Hivi! Sote tuliomo Katika Hii thread ambao Tuna Kiu ya Makombe na Tunajielewa, basi Tumueke Katika Ignored list Huyu Mpuuzi ili asiweze Kuona Chochote Katika Huu Uzi na sisi tusione tena Ujinga Wake anaoupost mpaka Ajishtukie Mwenyewe afahamu Kuwa Huu Ni Uzi Wa Watu Tunaojifahamu na Si wajinga Kama yeye.
[HASHTAG]#IgnoredListForMalafyale[/HASHTAG]
Siungi mkono hii hoja. Malafyale yupo hapa jukwaani kitambo kuliko wewe. Kumweka kwenye ingore list si kumzuia kutoa maoni yake. Mie naheshimu mawazo ya wote. Kama upendezwi na aina ya coments zake basi mpotezee tu.
Al tast we all remain REDS.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Word mkuu. Nakukumbuka sana mkuu enzi za kina Tisha-TOTO. Wengine wamekuja juzi tu hapa wanataka kuuteka uzi na kuwa mali yao. Hii ni freeforum. Tunakosoa, tunashauri na hata kusifia.Mkuu za siku mingi!
Nakuhakikishia tu mm sitoki hapa na hamna wa kunitoa!
Nitakuwepo na nitaendelea kuchangia na nitaikosoa Liverpool na Klopp kwa haki sio kwa chuki kama wao!
Liverpool tupo mikono salama na luckly kuwa na Klopp!
Word mkuu. Nakukumbuka sana mkuu enzi za kina Tisha-TOTO. Wengine wamekuja juzi tu hapa wanataka kuuteka uzi na kuwa mali yao. Hii ni freeforum. Tunakosoa, tunashauri na hata kusifia.
Mwisho tunabakia wote kopites