Barca/Madrid/Psg/Bayern/Man City hazina average players. zina Class players, top class players na world class players. and thats why they are rulling football world.
Mkuu sio kosa kama na yeye atanyamaza kimya na sio kulala mika amekaa muda wote bila ya kombe ikiwa yeye mwenyewe ndio alisababisha,
Mfano gerard kateleza tumekosa kombe ,asiwe yeye wa kwanza kulalama kwamba nimekaa Liverpool bila kombe naondoka na wakati yeye ndio alifanya hayo yote tuka kosa kombe.
Na Mafanikio yanajengwa kwenye Strong Foundation ambayo Sisi Liverpool hatunaGerrard wanted to leave LFC for Chelsea aswell, and he caused his transfer fuss baada ya tu ya kushinda UCL 2005.
Coutinho have said numerous times that he would only leave this Club for Barca tu and thats why he said no to PSG.
every top players want to win trophies and play with the best players, who wouldnt want to play for Barca? unadhan Barca/madrid wakija kwa Mane/Salah/Firmino watakataa??
we need to be realistic.
Owen, liverpool made. dumped us for madrid, and he then he made a tough decison to join Utd (LFC greatest rival) ili kushinda medal ya PL title.
PSG wamefanya nn Ulaya?
Kwenye champion League teams hizi mwaka huu kwa kufunga bao nyingi ya kwanza ni PSG ya pili ni Liverpool lkn kwa mshangao mkubwa unawaona si kitu!
PSG hata Yuropa final hawajawahi cheza!Klopp kacheza mwaka juzi na Liverpool hii hii mnayo idharau
SIO kWELI kama ulio wataja hapo wakija Liverpool wataanza kwa Liverpool
Mbele Barca wakija Liverpool anaanza Messi tu,aged Suarez hawezi muweka nje yyt Liverpool labda achezee jina lake sio perfomance wise
Na sio kweli kuwa kila mchezaji anaysajiliwa na Madrid ni mzuri,Danilo ni squad player Man City hata Zancheko kamshinda ktk picking order
ni kweli kabisa mabeki ameleta wazuri maana mpaka sasa sijaona Rob akisababisha kosa na kusababisha goli...no upgrade ya Moreno...Clyne kuumia imetucost sana magoli mengi tumefungwo yametokea upande wa Gomez unakumbuka Sanchez Arseno, Sane Mancty n.k...Mkuu klopp ni bonge la kocha,swala la goli kipa kuwa ni tatizo lilionekana wakati klopp amekuja tu alisajili kipa Baada ya msimu kuisha .msimu uliofata ikaonekana beki mbovu maana beki zilikuwa zinachomesha sana kipa wakaonekana wao sio tatizo sana ,msimu wa 2017/2018 plan zilikuwa beki nyuma mbovu sio kipa tumerekebisha robertson na vvd ila clyn imetokea ameumia msimu wote angekuepo angesaidia sana,Sasa hivi tena katikati ya msimu goli kipa wote wanaonekana wabovu hakuna hafadhali yaani ukilenga goli tu kipa hawezi kudaka,yaani kipa hawana msaada kwenye timu.ilo swala la kipa tusubiri msimu mpaka uishe watasajili tu kipa mpya ila katikati ya msimu nadhani aikuwa kwenye plan ya msimu huu,japo makipa wanajionesha kabisa wabovu.
Mkuu MosDef
Nimeona unampa-back up kubwa klopp na kuilaumu FSG moja kwa moja kuhusu sell & buy ... lakini unasahau kama klopp si mfuasi wa big deal buy kama si kelele za watu am 98% VDK asingemnunua.
Sijapata the best report kuhusu cou lakini huyu dogo pia ali-force move mwenyewe - no one to blame here
Sawa FSG wako after money let them play a business ni kosa kubwa kwetu wapenda trophy. As you say kuwa hakuna player asiyependa kucheza na world class player, unazikumbuka kauli za klopp alishasema 'hataki mchezaji anaye-jump over a speed train, wote waanze from zero to there' so mchezaji gani mzuri anayetaka kujikongoja from the scratch?
FSG & Klopp should be blamed for 100% for every mistake of our club
Let them go, let us buy our mediocre, beat top 6,compete top 4, & wait another season
Lmaoo didnt see this.
hahaha
mkuu.. Clyne hajaumia.. i think ni ishu za kutumia drugs ndo zmemweka nje.. kuna picha i had them akiwa vacation..ni kweli kabisa mabeki ameleta wazuri maana mpaka sasa sijaona Rob akisababisha kosa na kusababisha goli...no upgrade ya Moreno...Clyne kuumia imetucost sana magoli mengi tumefungwo yametokea upande wa Gomez unakumbuka Sanchez Arseno, Sane Mancty n.k...
ngoja tupambane Champions league na kubaki big four mpaka mwisho wa msimu naamini kocha ataleta kipa wa uhakika..
Barca wana Rakitic mwehu kabisa
Fit again Mane anacheza Barca
Fit again Lallana anacheza Barca
Can anacheza Barca
Salah anacheza Barca
Kama kawaida yako Al SahafBarca wana Rakitic mwehu kabisa
Fit again Mane anacheza Barca
Fit again Lallana anacheza Barca
Can anacheza Barca
Salah anacheza Barca
Barca wana deulafeu hata evarton alikua anakosa nambaBarca wana Rakitic mwehu kabisa
Fit again Mane anacheza Barca
Fit again Lallana anacheza Barca
Can anacheza Barca
Salah anacheza Barca