well said King umenikumbusha hata C10 kabla ya kuodoka alikua anapewa ucaptain...
Klopp safari inamnyatia kwa kweli...
few years ago livepool fans protested kuhusu ticket prices by waliking out in the 77th minute and FSG quickly backed down and reduce the prices.
they need to protest now pia. 7 years under FSG and its been nothing but selling our best players.
Klopp haendi popote
Ni Ferguson wetu
Unamtoa Klopp unamleta nani?
Nakumbuka kuna mashabiki wa arsenal walikuja huku tulipopigwa kale ka1 na pumba zao sai sijui wapo chimbo gani. [HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]Swansea Walichomfanyia Arsenal Kinatoa Picha Kwanini na sisi Walitufunga!!!!
Klopp Lazima Abakie Liverpool.
Niliwahi kuwaza hivi...nikapewa povu za kutosha hapa..usajili wa keita na VVD jumla yake ni paund mill 125..huku countinho akiuzwa kwa paund mill 145...hivyo kilichobaki ni paund mil 20..sitarajii usajili wowote wa kuzid hicho kilichobakia...au tupambane na vilivyopo..ni mawazo tuu ya kichaga yamenipeleka huku..
Hata mie huwa nakereka hicho kitendo!Hivi ni lazima Mo asimalize mechi? Striker anaegombania kiatu inakuwaje akifunga goli moja tu unamtoa? Huyu JK angekuwa bongo ningesema anapiga cha arusha
akiacha kiburi na upendeleo usio na tija ni kocha bora mkuu na ningependa aedelee kubaki miaka mingi..Klopp haendi popote
Ni Ferguson wetu
Unamtoa Klopp unamleta nani?
Tuna mechi.muhimu weeknd vs tottenham na ile mechi tayari 3-0 so why mtu aje aumie kizembe. Mtaanza tena kulia why kamuacha na wakati tushashinda. Atamfikia tu huyo Kane na atampitaHivi ni lazima Mo asimalize mechi? Striker anaegombania kiatu inakuwaje akifunga goli moja tu unamtoa? Huyu JK angekuwa bongo ningesema anapiga cha arusha