Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Spurs Leo Kadraw na Kabakia Katika Nafasi Ya Tano na sisi Tumebaki Ya Nne!
Iwapo Kesho Tutashinda ushindi Wowote hule Basi Tutampita Spurs Kwa Points Tano.
Iwapo Kesho Tutashinda Goli Nne au Zaidi Basi Tutpanda Mpaka Nafasi ya Tatu na Chelsea atashuka Mpaka Nafasi Ya Nne.


 
Liverpool itamruhusu Daniel Sturridge kuondoka Anfield mwezi Januari. (Sky Sports)
 
Baada ya kuacha kumfuatilia Thomas Lemar, Liverpool sasa wanataka kumsajili mchezaji wa Kimataifa wa Marekani Christian Pulisic. (Daily Star)
 
Ameamua kuwa Wakala sasa. Kazi ya kuongoza chama cha soka anahisi imemshinda


Usipanic Kaeka Na Vyanzo Vyake Vya Habari...
Hivo Ni vya Udaku (Tetesi) kwa ajili ya Kuuza na Ndiyomaana Vinasema "Baada Ya Kuacha Kumfatilia Thomas Lemar" Wakati Ndiyo Target Yao Namba One Hapo Summer baada ya Kumkosa Goretzka.
 
Tushaongea sana.. Jamaa ana daka kwa kubahatisha.. huyu sio kipa wa kwenda nae Champions league
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…