Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ingekuwa hvy liver angekuwa ameshapita. Au wakati mechi ya tottenham na dortmnd inaendelea wakati totth ana point 10 na madrid anaongoza 4 bila ana point 10 pia but group leader alikuwa tottenham sababu head to head na madrid ni tottenham lakini magoli ni madrid ndio alikuwa nayo mengi.
 
Mie nimesoma Rules za 201718 ndo nimekuwekea hapo
https://www.uefa.com/MultimediaFile.../Regulations/02/46/71/38/2467138_DOWNLOAD.pdf
inawezekana uko sahihi ila support hoja yako kwa kanunu.Mimi nilikua sijui ila niakenda kutafuta kanuni za 2017/18 nikakuta hiyo.
 
Chek hilo ndio group.lao na habari Skysport wanakwambia kuwa Tottenham Wamechukua Top spot yaani.kwamba hata madrid mechi ya mwisho ashinde 100-0 na tottenham afungwe 200-0 bado tottenham atabaki top sababu ya head to head
 
The coach is always proud. Henderson cyo DM. Can plays better in that position though yeye cyo natural DM. Henderson hata akienda spurs hapat namba kwa first team. Cjui kwa nini huwa haoni. Klopp haoni matatizo madogo. Game kama ya Jana angeanza na strong 11. Mignolet angesave mojawapo ya zile goli tatu. I'm very sure about it. Hajifunzi kabisa. Ana number 3 nzuri mno kuliko moreno lakin hamtumiii. Anaua kiwango cha Robertson tu. Cjui huwa ana gamble kwa nini. Henderson anacheza defensive mid halafu haelewi majukumu yake. Defenders wanapata shida kweli kwa sababu kweli. He is very soft. Pooor Henderson. Yule hatufai kabisa. Aangalie wanyama anavyocheza hio namba ataelewa. Poor us! Coach aache pride, awe harsh. If you are poor huchezi. Cyo unawachezesha kwa matumaini kwamba wata improve.
 
Halafu isome vzr hiyo kipengele "b" wanakwambia goal difference on teams in question( yaani hizo team mbili goals difference kati yao maana yake ni head to head kati yao wawili nani kamfunga mwenzake magoli.mengi
 
we acha tu mpaka kichefuchefu
 
well said, jicho lako linaona kwa umakini
 
Liverpool’s top scorer 16/17:
Alikuwa ni Philippe Coutinho alifunga Magoli 14 Kwa Mashindano Yote, akifuatiwa Na Sadio Mane magoli 13
.

November 18th in 2017/18:

Tayari Mo Salah Ameshafunga Magoli 14 kwa Mashindano Yote.

Wadhungu Wanasema Ridiculous
bargain!

 
Stats:



Naby Keita vs Monaco
√ 79% passing
√ 62.5% of passes went forward
√ 2 shots
√ 1 goal
√ 7 tackles
√ 4/4 take-ons
√ 2 aerial duels
√ 3 clearances
√ 2 interceptions



Philippe Coutinho v Southampton
√ 73% passing
√ 1 assist
√ 4 crosses
√ 6 take-ons
√ 1 interception
√ 5 shots
√ 1 goal



Mo Salah v Southampton
√ 77% passing
√ 2 chances created
√ 4 crosses
√ 6 take-ons
√ 5 shots
√ 2 goals



Jordan Henderson vs Sevilla
√ 55% passing
√ 0 take-ons
√ 0 tackles won
√ 0 aerial duels won
√ 5 fouls
√ 1 booking

Halafu Klopp anataka Kutuaminisha Kuwa Huyu Bwege Ndiye Mtu Sahihi Wa Kuinongoza Liverpool.
 

Attachments

  • DPQ0hJtX0AAJ1o_.jpgsmall.jpg
    32.1 KB · Views: 55
Mkuu sijaona kosa lolote la karius kweny game ya sevila apo mchawi ni henderson kazidiwa ata na lovren juz kacheza fresh
 

The way unavyo-analyze mpira hata mtoto mdogo hawezi kukuelewa..

Draw siyo mbaya ugenini, but unaelewa kuwa we gave up a 3-0 lead?
 
Few years back, hii thread ilikuwa na good reds ambao walikuwa wanaelewa na kuchambua mpira kwa akili sana bila kuwa biased na team/players.

But, now thread ina Top reds ambao wanaifanya hii thread kuwa ngumu hata kuchangia mawazo yako kwa sababu ya aina ya mawazo yao wanayoyatoa kuhusu team ni ya kitoto sana, mtu mzima anayeelewa mpira hawezi kuwa na mawazo ambayo ni kichekesho hata kwa mashabiki wachanga wa mpira.

Its ok kuwa over-confident about your club but kuitetea team kila inapofanya makosa ya kizembe hakukufanyi uonekane wewe ndo "mshabiki mkereketwa" na unaeipenda club kuliko mashabiki wengine.
 

Timu hii Klopp anatunyima confidence aisee....tupo humu muda wote,sometimes tunakuwa speechless tu
 

Is a greatest enemy!!!

Jukwaa sasa lina hitaji kuisifia timu tu
 


The most crazy ideas unamkutia Mtu Anajifariji Kwa Kufanya Comparison na Timu Nyengine Kama Chelsea, Real na Arsenal....

As long as Real na Chelsea au Arsenal wamefungwa, Basi Kwake yeye na Liverpool Kufungwa sio tatizo! Ridiculous.....!

As long as Arsenal, Chelsea au Spurs Haitachukua Kombe lolote! Basi Kwake yeye na Liverpool si tatizo Kuwa isichukue Kombe lolote... Childish thought....!

Yani Mshabiki Anajifariji Kwa Matatizo Ya Wengine ili Kufuta Matatizo ya Kwake...

Sidhani Kama Mshabiki Wa Kweli hasa anaridhika Kuwa Timu Yake Mara Zote iwe inagombania Top Four badala Ya Kombe!!

We are Liverpool, But we are not blind kiasi ya Kwamba tushindwe Kuona Matatizo ya Timu yetu..
 
Liverpool imewasiliana na PSG kuhusu uhamisho wa mkopo wa kiungo wa kati wa Ujerumani Julian Draxler, 24. (L'Equipe via Daily Mail)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…