Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

For pogba to be compared to your legend Gerald at the agw of 24 only means that the boy is such a great player. Haters will always hate cos that is what they do. HATE
 
Mkuu hebu tueleweshane ni vipi Spartak anaweza kwenda na Liverpool akabaki iwapo Spartak atamfungua Liverpool.
Uefa ni head to head sio idadi ya magoli. Kwao ilikuwa 1-1 akija ajatufunga atafikisha point 9 sawa na sisi so head to head atatuzidi so hapo ni kuombea labda sevila atoke sare na maribor....tumeharibu kweli hii oportunity ya jana.
 
Hii kanuni itakuwa imeanza mwaka huu lakini. Nimeona jana half time dortmund alipokuwa akiongoza goli moja,real na totenham walikuwa point sawa na real akiwa na goal difference nzuri zaidi ya Spurs lakini real alikuwa namba 2.
 
Mkuu utawafanya wachanganyikiwe aisee! Usiwatajie kikosi......Ha ha ha ha ha. Mabeki wenyewe wale ambao wapo kama wamezoea kucheza cha-ndimu
 
Kipa wa Liverpool na Wales Danny Ward, 24, na mshambuliaji Ben Woodburn, 18, wanatakiwa na mkufunzi mpya wa Sunderland Chris Coleman. (Sunderland Echo)
Akiondoka Woodburn na Klopp naye afungashe virago.
 
Mkuu utawafanya wachanganyikiwe aisee! Usiwatajie kikosi......Ha ha ha ha ha. Mabeki wenyewe wale ambao wapo kama wamezoea kucheza cha-ndimu
Hawa wetu tu mkuu.

Leo Tony atafanya mabadiliko na kikosi kitakua hivi...

Jumamosi Hawa ndugu watakufa mbaya
 
If klopp starts henderson against Chelsea then we'll be witnessing another total destruction.
sijajua kama anashinikizwa kumpanga au ni vipi. huyu hendo ndo anaigharimu timu kwa kutofanya clear marking, yeye ni defensive midfielder lakini hana roho mbaya kabisa mpaka mabeki wanalalamikiwa kumbe matatizo yanaanzia kwake
 
Henderson had a 55% pass accuracy ndani ya dk 90. Failed to make a single tackle, failed to win a single header, failed to complete a single forward pass.

And thats our number 6 lol
kwa bahati mbaya sana Milner umri na hii staili ya mzee miwani ya kupress ni shinda sana ila Milner angekua afadhali ya huyu mr sadaland
 
sijajua kama anashinikizwa kumpanga au ni vipi. huyu hendo ndo anaigharimu timu kwa kutofanya clear marking, yeye ni defensive midfielder lakini hana roho mbaya kabisa mpaka mabeki wanalalamikiwa kumbe matatizo yanaanzia kwake
hivi kwani akiwa Sadaland si alikua attacking mildfilda au na huko alikua kiungo mkabaji maana jana alikua Headless chicken...kocha amepata dirisha tatu za usajili na bado anaedelea kubana pesa...aidha wamiliki wa Liva ni shindaa au Klopp anadhani huku ni Dotimodi ya miaka hioooo
 
Tetesi
MAN CITY HUENDA WAKAMPOTEZA KINDA WAO KWA LIVERPOOL

Liverpool wana tumaini la kumsajili kinda mahiri wa Manchester City Javairo Dilrosun, kwa mujibu wa ESPN .
City walikuwa na tumaini kubwa kubaki na kinda huyo wa miaka 19 baada ya kumpoteza Jadon Sancho aliyetimkia Dortmund majira ya joto, lakini Juventus, RB Leipzig na Valencia pia zinatamani huduma yake,
 
This idiot is our Fvcking Captain...
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

aisee nasikia na yule kinda Rhian wa majogoo aliyeng'aa "world cup" ya juzi anatimkia Dotimodi...
 
Uefa ni head to head sio idadi ya magoli. Kwao ilikuwa 1-1 akija ajatufunga atafikisha point 9 sawa na sisi so head to head atatuzidi so hapo ni kuombea labda sevila atoke sare na maribor....tumeharibu kweli hii oportunity ya jana.
Mkuu mbona unadanganya umma?? Kitu kama hujui ni bora ukakaa kimya.
Rules za UEFA hivi hapa
Article 17 Equality of points – group stage
17.01 If two or more teams are equal on points on completion of the group matches,
the following criteria are applied in the order given to determine their rankings:
a. higher number of points obtained in the group matches played among the
teams in question;
b. superior goal difference from the group matches played among the teams in
question;
c. higher number of goals scored in the group matches played among the teams
in question;
d. higher number of goals scored away from home in the group matches played
among the teams in question;
e. if, after having applied criteria a) to d), teams still have an equal ranking,
criteria a) to d) are reapplied exclusively to the matches between the teams in
question to determine their final rankings. If this procedure does not lead to a
decision, criteria f) to l) apply;
f. superior goal difference in all group matches;
g. higher number of goals scored in all group matches;
h. higher number of away goals scored in all group matches;
i. higher number of wins in all group matches;
j. higher number of away wins in all group matches;
k. lower disciplinary points total based only on yellow and red cards received in
all group matches (red card = 3 points, yellow card = 1 point, expulsion for
two yellow cards in one match = 3 points)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…