Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
hua wanamuita the Egyptian Messi tangu yupo Fc BaselNakusalimia Mzee wa Roma a.k.a 3G
Usitususe kwenye uzi wetu bhana wewe ni mwenzetu wa Siku nyingi...
Bado mpira haujesha tutafungwa tu.. 😀😀😀
Hivi mkuu umeelewa Henderson alchokuwa anafanya uwanjani?!!mi nadhani ikiwa mpaka mapumziko tunaongoza 3 kwa timu kama Sevila basi kipindi cha pili ni kurudi na mfumo mpya 4-4-2....hii 4-3-3 dakika 90 ndio shinda maana wachezaji wanakua hoi ule mchaka mchaka wa kukaba na kushambulia kama unit unakua haupo...
kwa matokeo kama haya ni kocha tu mbinu zake...maana huyu hajui hata kupaki kibajaji muda wote ni heavy metal football
sevila wamekua wavumilivu sana na pia sub zao katika mechi hizi mbili tumekutana nao wametusumbua...
Klopp inabidi aamke jamani
huu Mkuu kila msimu unayosonga naanza kuona level yake ni Sunderland..Hivi mkuu umeelewa Henderson alchokuwa anafanya uwanjani?!!
Kwamba ma captain hawafanyiwi sub ama?!
huyu muzee ukijiuliza mechi ya muhimu kama hii anaweka huyu kipa mjeremani alikua anafikilia nini haswahatutashinda kikombe chochote kinacho husu fainali na klopp
kwa beki hizi kama tuta-qualify tuombe tusikutane na rejuvanated bayern munchen, psg au barcelona
bwana wee kwenye Champions league sio kwa utani huu wa leo...Ni Liverpool tu ndio wanaweza hii ya Kufunga Magoli 3 Na wao Kufungwa Magoli 3
Aibu ni Joke's kwa Manager
ngoja kwanza tumalizane na hawa jamaa wa Ussr kwanza tutajua ni vipi baada ya hapo maana ukiwaza lvpol vs baka/psg/ethad/real/munchen n.kMara nyingine najiuliza tukifuzu kule tutaenda kufanya nini kwa beki Wetu huyu ndio akutane na Benzema, Suarez, Lewandowsk, Aguero itakuwa aibu tupu.