Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu upi sahihi kabisa...Liverpool sio ya kugombania nafasi ya nne bora ila kwa sasa huo ndio ukweli kwa nafasi tulipo na moto wa hawa jamaa wa Ethad sioni nafasi nyingine zaid ya big four ili tubaki Champions league msimu ujao na kubakisha mastaa wetu na vile vile kuwavutia wengine waje Anfield kama akina Lemar n.k

Hili la kushinda Champions League uwezekano upo kabisa maana hua naamini Liverpool is made for such challenges...
All in all big 4 tunaihitaji msimu huu kujiadaa kuchukua EPL msimu ujao
 
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp, amemtaka mshambuliaji Daniel Sturridge kuelekeza nguvu katika kikosi hicho.

Kauli ya Klopp imekuja muda mfupi baada ya kuibuka tetesi kuwa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England anatataka kuondoka katika usajili wa dirisha dogo Januari, mwakani.

Kocha huyo alimwambia Sturridge kuwa anahitaji wachezaji wote Liverpool kuisaidia klabu hiyo katika kampeni ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

Kocha huyo wa zamani wa Borussia Dortmund amemtaka Sturridge kuweka kando matatizo binafsi na kujikita katika maendeleo ya klabu.
 
Sasahivi Ninajiandaa Taratibu Kusubiri Muda Wa Kuangalia Game Yetu Ambayo Kwamimi Ndiyo Kombe Pekee Ninaloamini Kuwa Liveepool Kwa Msimu huu Ndiyo inayoshiriki na Kugombania...

Huko kwengine sijui EPL, mara FA nahesabu ni mazoezi tu ya Kuwaeka Fiti Wachezaji Lakini Hatugombanii Kitu..

Sevilla Jiandaeni tunakuja Kuondona na Points 3.
 
kabisaa Mkuu kwa msimu huu hakuna kikombe kingine tunaweza kuchukua zaidi ya hiki na ambacho mashabiki wengi wa Livapoll huamini "Liverpool is made for this"..
 
Sevilla anakufunga na Spartak anashinda wote muwe na point 8 na game yako ya mwisho spartak hapo hapo anfield anakugonga
 
Iwapo Mo Salah atafunga Magoli 2 kwenye Game ya Leo, Basi Atakua Mchezaji wa Kwanza Wa Liverpool Kufunga Magoli Mawili Katika Mechi 3 mfululizo Tokea alipofunga Luis Suarez December 2013.
 
Sevilla anakufunga na Spartak anashinda wote muwe na point 8 na game yako ya mwisho spartak hapo hapo anfield anakugonga
Mkuu Anfield kwenye mechi za champions league usipime...pale usiku mechi hizi timh pinzani ni kwi kwi..

Kwa sasa rythm imerudi angalau Klopp amekua mwelewa wa nini kifanyike matokeo ya ushindi yapatikane...utaishia kuisoma namba Livapool hio last 16/8/4/2/1bingwa
 
Sevilla anakufunga na Spartak anashinda wote muwe na point 8 na game yako ya mwisho spartak hapo hapo anfield anakugonga


Mimi Naona Mzimu Wa Roma Bado Unakuandama bro!!

Fahamu Kuwa Nje Ya EPL hakuna Timu Yoyote Yenye Uwezo Wa Kumfunga Liverpool..
 
Liverpool imepoteza Michezo Miwili tu Katika Michezo Yake 19 iliyopita iliyocheza Barani Ulaya...

Na Haijapoteza Hata Mchezo Mmoja Katika Michezo Yake 12 iliyopita.
 
Mimi Naona Mzimu Wa Roma Bado Unakuandama bro!!

Fahamu Kuwa Nje Ya EPL hakuna Timu Yoyote Yenye Uwezo Wa Kumfunga Liverpool..
Kwa kwa kwa kwa Leo unafungwa
 
Liverpool mpaka sasahivi Kwenye Hatua Ya Makundi CL imeshafunga Magoli 13 huku ikiwa imebakisha Michezo 2..

Rikodi Yake Kubwa Zaidi ni ya Mwaka 2007-08 pale ilipofunga Magoli 18 hatua Ya Makundi.
 
Ushindi Wa Juzi Jumamosi Dhidi Ya Southampton umekuwa wa Kwanza Kwa Liverpool Kushinda Magoli 3 Katika Mechi 4 Mfululizo kwa Mara Ya Kwanza Tokea Mwaka 1980.
 



OUR LINE-UP TODAY

Liverpool:
Karius, Gomez, Klavan, Lovren, Moreno, Wijnaldum, Henderson, Coutinho, Mane, Salah, Firmino.

Subs:
Mignolet, Milner, Sturridge, Oxlade-Chamberlain, Can, Solanke, Alexander-Arnold.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…