Dah, Lovren tena! Hivi jamani, Gomez hawezi kabisa kuokoa jahazi? Hatuwezi kumwamini huyu dogo?
Hii comment ya msimu kabisaUkiwa na fit wote wale watatu mbele!
Week ijayo akija Lallana!
Hata ww unaweza cheza sentahafu na tusifungwe
Ni nani atakaa bench kama lalana akiwa fit?
Nyie wiki ijayo tunawakalisha nyingi tu ..hamna pa kutokea
The Man has broken Robbie Fowler record of best new signing goals in 12 games...9 goals in his first 12 Premier League games...
8 in his last 6....
14 for the season...
Mo Salah
View attachment 633260
Kwa huu mfumo itakuwa hatari zaidi kwetu mkuu nani atawacover walinzi wetu?Ni GINI...
Na badala yake Atacheza HENDO-COUTINHO-LALLANA
SALAH-BOBBY-MANE
Kwa huu mfumo itakuwa hatari zaidi kwetu mkuu nani atawacover walinzi wetu?
jana kwa kweli Klopp alipanga kikosi safi sana...walikua wavumilivu sana mpaka Salam anafunga hawakupanick...bii ndio inahitajika mechi zote...Sevila tukimfunga tutakua tumesha qualify mapema...Tupo vyema sana!
Klopp for life
Chelsea week ijayo anakaa saa 12 asubuhi!
Jumanne tuna qualify CL
mkuu hata kipa anahitajika hawa waliopo sio kiwango cha juu* Klopp Kwa Sasa Kabakisha Mambo MATATU tu aweze Kuwa Na Timu Ya Ushindani na Kuteka Nyoyo za Mashabiki...
1) Kuondosha LOVREN na Kuleta TALENTED DEFENDER.
2) Kuondosha HENDO katika Kikosi Cha Kwanza katika Position Ya Defensive Midfielder kwani Hawezi Kuitumikia na Kuwalinda Mabeki.
3) Kuachana Na Mfumo wa Kuchezesha False Striker! Na Baadae Kusajili World-Class au Talented Natural Striker (Traditional No 9).
Akiyafanya Hayo, Basi Kwa Mfumo Wa Klopp Wa Kushambulia Tutaondokana na Tabia Ya KUGOMBANIA TOP FOUR kama Tunavyofanya Sasa na Badala Yake TUTAGOMBANIA UBINGWA...
Hakuna Jambo Linalotuudhi Mashabiki Wakweli wa Liverpool (Sio wale Plastic-Fanboys) kama Kuona Timu Yetu inapigania Top Four kama Tulivyosasa Kwani Huu si utamaduni wetu..
Na Ndiyomana Mashabiki Wa Kongwe Hawaonekani Katika Huu Uzi hatahata kama Timu inashinda Kwasababu Wanaelewa Wazi Kuwa inashinda Kwa Ajili ya Kukimbilia Top Four...
Top Four ni Malengo ya SPURS na ARSENAL ili Wacheze CL, lakini Sio MALENGO WALA UTAMADUNI WA LIVERPOOL...
UTAMADUNI wa Liverpool ni Kuwa Bingwa..
Na Ndiyomana JÜRGEN KLOPP sote Tunajua Kuwa Ni KOCHA MZURI NA MWENYE MBINU... NA KWASASA NDIYE KOCHA PEKEE ANAYESTAHIKI KUINOA LIVERPOOL...
Lakini Kwanini TUNAMCHUKIA NA HATUMKUBALI, LAKINI HATUTAKI AONDOKE?
SABABU:
MWISHO: Bado Tuna Matumaini Ya Mwisho Kwa Klopp Next Season! Sio Msimu Huu tens..
- Ni Kuifanya Timu Yetu iwe inacheza Kwa Kuwania Top Four Kama ilivyokuwa Msimu uliopita, na Msimu Huu pia Tunawania Top Four... Haya Sio Malengo Yetu sisi! Tunachotaka ni Timu Ya Ushindani Kuwania Kombe la EPL..
- Hatutaki aondoke Kwasababu ukweli usiofichika Atakapoondoka Klopp atakuja Kocha Mbovu ambaye atatuudhi Kila Mchezo! So, heri Tubaki na Klope kuliko Kuja BILLIC, KOEMAN au MARTINEZ. → "LESSER OF TWO EVILS"
ndogo Mosalah anajua kuji position...akiongeza nguvu ya mashuti huu msimu atafunga mengi
jana japo Southmpton hawakusumbua sana Klavan alijitahidi sana kwa kweli...Lovren bwana sinaga imani nae kamwe hope mechi ya Sevila atakua amepona MatipBut Liverpool Echo wameripoti Kuwa Matip ni injury na atakosa Game ya Leo!
Ni wazi Kuwa LOVREN na KLAVAN watachezha Backline Ya Leo.. (Disaster)...
Reds injury blow as Matip set to miss Southampton clash