Halafu wewe sijui niseme Una Mental Disorder!!!
Who said Klopp is a good Coach?? Mimi huwa ninaiombea Timu Mazuri, Lakini simuombei Mzembe (Klopp) Mazuri...
Kwanza Kumbuka Kuwa Mimi Sitiwi Upofu na Ushindi Wa Jana Kwasababu Ninajua Wazi Kuwa Furaha Ya Jana haina Maisha Marefu! Itafata Huzuni ya karibuni tu.....
Hivi unadhani ushindi wa jana Ndiyo umesolve matatizo yote ya Timu yetu????
Bado tatizo la WALINZI WETU KUZEMBEA (Goli la Pili) na TATIZO LA KIUNGO NKABAJI, PAMOJA NA TATIZOBLA UFUNGAJI (kwani tunatengeneza nafasi nyingi za wazi na kushndwa kufunga) Lipo pale pale...
Mkuu Timu bado sana kuwa Ya Ushindani! inahitaji mabadiliko....
Mkuu Klopp ni Hero kwako tu lakini sio Kwangu mimi.
Mistake iliyofanyika ni Okazaki kumchezea faulu kipa hayo mengine hayana ukweli but kabla
Okazaki alifunga goli akiwa clear onside refa akakataa goli akasema amezidi the sama refa amepeta penati against Emre Can nashangaa wewe unalalamika refa amewaonea
Ulikuwa umeanza vizuri tatizo umeboronga mwishoni.Gemu ya jana imetafsiri ubovu wa mabeki wa Liverpool ..hii inaonyesha klopp anatakiwa kufanya namna ili kuondoa ili tatizo. Mbele yuko njema ila magoli mengi yanafungwa kutokana na ubovu wa beki zenu. Na hii ni oppotunitu kwetu sisi ...MORATA ni lazima afanye yake ili klopp ajue kuwa beki zake ni mbovu sana.
1.Mignolet ****** mpira hajarudishiwa na beki na yuko eneo lake why asidake akaamua kumkwatua vardy??
2.kuhusu marefa mimi sio mlaumu marefa hata kama kazaliwa nyumbani kwa furgeson...nachojua mpira ni mchezo wa makosa. Na kila.timu inafaidika kivyake na makosa ya marefa. Tulimfunga man u 4-1 OT refa akiwa Webb na penat akatupa
3.Kloop ni kocha mzuri sema wachezaji ndio wana matatizo yao binafsi...sasa kama salah yuko na goli jeupe anapiga nje utasema shida klop? Kocha atakupa mbinu za mechi but sio kukushika.mguu kupasia nyavu...Beki lovren ana matatizo yake binafsi ya kupenda kujiamini kupitiliza...na mabeki wa liver wanauoga wa kuweka bodies on the line kama walivyokiwa akina callagher na hypia au sketel
Trash
Absolute trash!
Ni ya kupuuzwa tu!
Shehe Yahaya!
Mkuu Kutokana na Maelezo Yako ni Kuwa Umeshaliona Tatizo la Timu kwa 100% lakini ni Mapenzi yako Kwa Klopp Yanakutia Upofu...
Hivi iwapo Salah Pekeyake Anakwenda Golini Nafasi Clear 8 na anafunga Moja unadhani Kocha anapaswa Kufanya nini??
Hapo ndiyo unapoonekana ubora wa Kocha...
JIBU:
1) Jambo la kwanza Kocha anachotakiwa afahamu ni Kuwa Salah sio Mashambuliaji (striker/Foward), bali ni Kiungo (Winger)..
2) Firmino Sio Mshambuliaji (Striker/Foward), bali ni Kiungo (Central attacking Midfielder)...
3) Lallana & Coutinho sio Washambuliaji (Striker/Foward), bali ni Viungo (Cetral attacking Midfielder).....
Sasa hapo huoni Kama timu inayocheza Na Viungo Watupu bila ya Kuwa Na Mshambuliaji (STRIKER) huwa ni Tatizo Pale inapokutana na Kibonde Kinachopaki Basi (Deep Defence) Kwani Huishia Kupiga Pasi Katika Eneo la Kati tu bila ya Kupenya Ndani ya Boksi la Wapinzani????
Hapo ndiyo Kocha Anatakiwa Awe na Natural Striker (Goalscorer/Goal taker/Goal Hunter) ambaye Ni Mviziaji Mzuri Wa Kumdungua Kipa na Kubadilisha Matokea...
Mfano wa Hao Hapa EPL katika Top Six ni:-
1) Man U - Lukaku
2) Man City - Aguero & G. Jesus
3) Spurs - H. Kane
4) Chelsea - Morata
5) Arsenal - ?
6) Liverpool - ?
Sasa hapo Kocha Kama Kashindwa Kulisolve Tatizo la Kutegemea Viungo Kama Wafungaji Kwanini Tusilisemee???
Na Kuhusu Mabeki Wetu Kusema Kutojiamini Sio Kweli!!
Bali Tatizo ni Kuwa Uwezo Wao Binafsi ni Mdogo....
Hapo Kocha Anatakiwa Atafute Beki Ambao ni Talented na sio Kina Lovren Waliokuwa sio talented na Wala Hawafundishiki...
BTW: Kama Mabeki hawajiamini pia lawama ni zake! Kwanini asitafute Wanaojiamini??????
Sturridge ni mzuri sana kama namba tisa sema mjeraha yanamkosti sana
Just ignore 'it' mkuu.Its schizophrenia related mind.Childish and immaturity are very clear in 'its' posts.
Gemu ya jana imetafsiri ubovu wa mabeki wa Liverpool ..hii inaonyesha klopp anatakiwa kufanya namna ili kuondoa ili tatizo. Mbele yuko njema ila magoli mengi yanafungwa kutokana na ubovu wa beki zenu. Na hii ni oppotunitu kwetu sisi ...MORATA ni lazima afanye yake ili klopp ajue kuwa beki zake ni mbovu sana.
Jinga lingine hili hapa!
Puuzi kabisa
Nachukulia hujaelewa hiyo post ilikuwa inalenga nini.Amani sana
Mshakuwa pacha na arsenal.wenzio washapanga kumtimua.For better or for worse!
Klopp is my coach and Liverpool is my team!
If we swim we will swim together
If we drown we will drown together
Ndiyo tofauti yetu kubwa!
Kuikejeli the Great Jearsey
Kumkejeli Mwl Klopp doesn't make any sense!
Sorry for anything I said before
But above is my toughest stance about the Greatest Club of Liverpool
Mshakuwa pacha na arsenal.wenzio washapanga kumtimua.
Jipe moyo
Kwa zile beki zenu.mtamfukuzisha mapemaaKlopp will be another Mzee Ferguson!
Miaka 20 bado mbele yake
Viva Klopp Viva Liverpool