Tutamuwahi kweli maana muda ndio huo unayoyoma, halafu kuna tetesi jamaa yupo ndani ya mji wa Liverpool deal laweza kamilika ngoja tuone.Leo ni siku ya furaha sana kwa wana Liverpool
Tumepata mwalimu mwenye ushawishi
OX tayari
Baadae anakuja Van Djiik na Lamar
Ubingwa ni wetu
Juventus imejipanga msimu ujao kuleta ombi la kumsajili CanNow Ujio wa OX ni kikwazo Kwa Can/Gini ama Atacheza Winga ya Kushoto...
Kuna uwezekano Mkubwa Wa Kumpoteza Can Msimu Ujao Coz Atakapokuja Keita na Tukaweza Kumsajili TL basi ni Wazi Kuwa Can/Gini/Hendo/Lallan Watakua ni Wachezaji wa FA na EFL tu....
Hata Hivyo Hapajawa na Uhakika Kuwa OX ataweza Kucheza Fist Team ama ataanzia Bench!!!!!
Siwezi nika comment kitu ambacho ni kweli, VVD rejected Chelsea for you, ila sio uongo mnaolishana eti Barcelona wanted keita and he chooses you ahead of dem. [emoji23]Vipi Kuhusu Virgil V Djikd Kukataa Kwenda Chelsea na Kuitaka Liverpool? au Unataka kusema Chelshit haikuwahi kumtaka VVD? Kwanini hukilukomment Hili?
wegman King Ngwaba Kidowle Malafyale wakuu naomba mnijuze nasikia dirisha la usajili Spain linafungwa kesho lakini England ni leo usiku.
Itakuwaje kwa Coutinho ikitokea FCB wakamuhitaji kesho wakati England litakuwa lishafungwa je, ataweza kuondoka?
Ahsante mkuuMkuu koncho77 , ni kweli spain dirisha lao huwa linafungwa Sept 1, kuhusu ili la uhamisho kusema wakimuhitaji Coutinho wakati England dirisha limefungwa sizani kama inawezekana kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba kila nchi dirisha lake la usajili linatakiwa liwe wazi, ingawa pia nimewahi sikia ili kumsajili mchezaji inatakiwa dirisha la usajili la timu anayoenda ndio liwe wazi. Subiri wadau wengine watakuja kuweka sawa kama nimekosea, Na PC usijali mkuu timu ishaweka msimamo kuwa hauzwi nukta.
Pamoja sana mkuu.Ahsante mkuu
Can ilikuwa aondoke msimu huu kwenda Juve ndomana alikataa kuongeza mkataba wake unaoisha mwakani.Baada ya kumkosa Keita ambaye Klopp anaamini ndo right replacement yake ameweza kumshawishi akubali kuondoka mwakani.Kuhakikisha anaweka uhakika zaidi ameshamalizana na Keita kujoin msimu ujao.Now Ujio wa OX ni kikwazo Kwa Can/Gini ama Atacheza Winga ya Kushoto...
Kuna uwezekano Mkubwa Wa Kumpoteza Can Msimu Ujao Coz Atakapokuja Keita na Tukaweza Kumsajili TL basi ni Wazi Kuwa Can/Gini/Hendo/Lallan Watakua ni Wachezaji wa FA na EFL tu....
Hata Hivyo Hapajawa na Uhakika Kuwa OX ataweza Kucheza Fist Team ama ataanzia Bench!!!!!
Itabidi akalalie Spain !wegman King Ngwaba Kidowle Malafyale wakuu naomba mnijuze nasikia dirisha la usajili Spain linafungwa kesho lakini England ni leo usiku.
Itakuwaje kwa Coutinho ikitokea FCB wakamuhitaji kesho wakati England litakuwa lishafungwa je, ataweza kuondoka?
wegman King Ngwaba Kidowle Malafyale wakuu naomba mnijuze nasikia dirisha la usajili Spain linafungwa kesho lakini England ni leo usiku.
Itakuwaje kwa Coutinho ikitokea FCB wakamuhitaji kesho wakati England litakuwa lishafungwa je, ataweza kuondoka?
Mkuu koncho77 , ni kweli spain dirisha lao huwa linafungwa Sept 1, kuhusu ili la uhamisho kusema wakimuhitaji Coutinho wakati England dirisha limefungwa sizani kama inawezekana kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba kila nchi dirisha lake la usajili linatakiwa liwe wazi, ingawa pia nimewahi sikia ili kumsajili mchezaji inatakiwa dirisha la usajili la timu anayoenda ndio liwe wazi. Subiri wadau wengine watakuja kuweka sawa kama nimekosea, Na PC usijali mkuu timu ishaweka msimamo kuwa hauzwi nukta.
Hongera kwa kutupiga 4-0 na kumpata bonge la Center Midfielder OX Chamberlain...Hahahahaha Ox anadhani atapata namba ya kati over Henderson, Can very funny.