Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi ata Origi naye si ndo tulimsajili kwa style hii ya Naby Keita?!?

Origi sisi ndiyo tuliamua kumbakiza Lille
Keita wao ndiyo wameamua kama kuuza ni mwakani sio mwaka huu sababu ya CL
Ona tofauti!
 
Mwaka huu ni wetu kabisa nikuomba tu hizi mechi za kimataifa ziishe salama
 
Hizi habari za Keita niliziona Jana usiku nikadhani ninaota! Ila huyu jamaa...ni 'majicho' yangu au?! Umri wanaomtaja mdogo, ila nikiangalia picha yake anaonekana super-mkomao sana!
 
Hizi habari za Keita niliziona Jana usiku nikadhani ninaota! Ila huyu jamaa...ni 'majicho' yangu au?! Umri wanaomtaja mdogo, ila nikiangalia picha yake anaonekana super-mkomao sana!
Bro wewe ni mgeni africa?
 
Monaco wametugomea kabisa kumtoa TL Barcelona wasahau kuhusu Cou
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…