YahBeki za liverpool bado sanaaa
Mmh mkuu unamuamini Lovren??Say again
Hatuna nini?
Moreno ni mzuri mkuu ameimarika sana ila nina wasiwasi kwa Lovren simuamini hata kidogo sijui tukikutana na timu kama PSG, Monaco, Real Madrid n.k itakuwaje?Kama arsenal wameshindwa kufunga goli beki.lovren moreno na kipa karius asi arsenal.ni mbovu kuliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Performance ya Moreno Jana hata sikuamini kabisa nadhani Klopp ni creater mzuri sanaYah
nadhani tumeona jinsi zilivyofanya Lacazette, Giroud, Ozil, Sanchez, Ox, kushindwa hata kupiga one shot on target
We have a problem pale kwa Lovren tu, huku kwingine vijana wameanza kukata umeme
Asernal beki zake wabovu hata leicester alijipigia goli tatu subirini tu mkutane na Man u ambaye hajafungwa hata gori moja kwa beki alizonazo ndo mtajaji mwelekeo wenuWe r Liverpool ! Bonge la performance. Ushindi mnono +alama 3. Clean sheet y'a pili. Hii inaonyesha ile back line yetu imeanza kuelewana.
Gini Hedo na Can wameelewana vizuri pale kati. Mane Friminho na Salah wamecheza vizuri n'a matumaini yapo. Moreno kabadilika n'a sasa ni bonge la wingback.
Niwapongeze kops wote kwa ushindi huu mnono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moreno aise ameimarika hadi raha, ukiangalia anacheza sahivi unaweza sema sio moreno yule wa kipindi kile, hope performance itaendelea kwenye kiwango hicho hicho mpaka mwisho wa msimu, Joe Gomez jana nae kajitahidi ila anavi rafu vyake vya ajabu ajabu ndio huwa vina hicost team na ubaya hivyo virafu anachezea maeneo ya hatari, all in all vijana pale mbele wamepiga kazi sana jana kuanzia Mo, Mane & Firmino, Upande wa defense inabidi tuwe tunafanya maombi tu kabla ya match kuanza sababu kocha sijui ndio amegoma kufanyia usajili nadhani no more new face till next summer.Moreno ni mzuri mkuu ameimarika sana ila nina wasiwasi kwa Lovren simuamini hata kidogo sijui tukikutana na timu kama PSG, Monaco, Real Madrid n.k itakuwaje?
Moja ya mbinu za kukaba ni kishambulia, nadhani tunashambulia vizuri kuliko kukaba, mwisho wa yote yule FIRMINO hafai kabisa ahahahaSay again
Hatuna nini?
Hafai kuwa ni mbovu? Au kuwa ni mwibaMoja ya mbinu za kukaba ni kishambulia, nadhani tunashambulia vizuri kuliko kukaba, mwisho wa yote yule FIRMINO hafai kabisa ahahaha
Ni mwiba tena hatari kabisa jamaa anajua kivuruga mabeki wa pinzani wakapoteana kabisa na kuscore goli kitahisi anajua kutuliza presha ndani ya box na nje ya box la maadui
Bob ni hatari pia ana nguvu sana miguuNi mwiba tena hatari kabisa jamaa anajua kivuruga mabeki wa pinzani wakapoteana kabisa na kuscore goli kitahisi anajua kutuliza presha ndani ya box na nje ya box la maadui
Will call....Liverpool want to close a deal for Thomas Lemar today & will call AS Monaco Vice President Vasilyev imminently, according to L'Équipe.
.....jana kafanua maujinga mara tatu ! Anachelewa kucheza back pass mpaka anakabwa !....moja kidogo afungwe, na lingekuwa goli la kusawazisha.Bado sijawahi kumuamini huyo dogo asijefanya maujinga yake
Lovren apimwe mkojo, sio bure ! Msimu wa ngapi huu sasa jamaa bado habadiliki !Moreno ni mzuri mkuu ameimarika sana ila nina wasiwasi kwa Lovren simuamini hata kidogo sijui tukikutana na timu kama PSG, Monaco, Real Madrid n.k itakuwaje?
Lovren apimwe mkojo, sio bure ! Msimu wa ngapi huu sasa jamaa bado habadiliki !