Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakimuweka Lovren mechi sitaicheki kabisa maana hana jipya.
 
Madhaifu makubwa ya liverpool yapo kwenye set pieces na wale jamaa ni wazuri sana upande huo.

Licha ya kwamba wanaonekana ni underdogs lakini kikosi chao some how ni kizuri japo attacking line yenu ni bora zaidi. Wamewapoteza Sebastián rudy na Niklas sule wote wameenda bayern lakini nao wameongeza Nordtveit, Hoogma na gnabry.

Itakua mechi nzuri sio ya kuibeza na kila la kheri kwa kila timu.
 
Ahsante mkuu umenifurahisha jinsi ulivyouchambua mchezo bila unazi inaonekana kwa malkia huna timu yoyote
 
Vipi wakuu mbona mmeukacha uzi wetu? Au mnajifanya leo hamjui kuwa mna mechi??
 
Dogo huyu anajua sana tatizo pale nyuma ni Lovren
nionavyo mimi... tatizo kubwa na la msingi ni defending system anayoifundisha JK. hata mtangulizi wake BR alikuwa na the same shortcoming. chini ya JK hata akiletwa Ramos, VVD au nani - tatizo litabaki pale pale.

mfumo!
mfumo!
mfumo!!!!

tumeona jinsi Lovren alivyokuwa mzuri pale Southampton. Moreno was one of the best full backs kwenye La Liga kabla hatujamnyakua kutoka Seville (walikuwa wanamtabiria kuwa ni Roberto Carlos mpya kwenye La Liga yao). embu ona Sakho kwenye loan spell pale Palace. nk, nk, nk.

coach mwingine (Pulis, Benitez, Allardyce, etc) akiichukua hii defence yetu ya sasa, am sure inaweza kuwa ni moja ya defence imara sana kwenye EPL. hii defence yetu hai-defend kabisa chini ya mfumo wa JK. Matip kwenye kona pamoja na urefu wote ule haruki kupiga vichwa mipira anasubiri second balls ambazo kuokoa ndani ya 18 ni kama kucheza kamari. and all this is about systems and coaching!

JK anapaswa aiache defence ifanye kazi yake. atumie zonal marking as and when only. in fact inapaswa awape defenders wake standing instructions kabisa.... "your job is to defend ONLY you morons!".

kwa siku zilizosalia kabla ya dirisha la usajili kufungwa, he should forget about VVD na badala yake yampasa atafutate viungo 2 wakabaji wazuri (at any cost) kwa ajili ya quick transition from defence to attack. Henderson na Wijnaldum wabaki kuwa squad members only.
 
Tumefuzu CL group stage
Sasa Klopp mlete VAN Djiik na mido moja ya mbele kuchukua nafasi ya Coutihno!
We are RED
We are Kops!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…